Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..I need a serious man..
Am 23,
Mhaya na ni mnene kidesign..
Shepu ya kihaya to be precise..
Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!
Imight not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..
Kazi kwenu serious men..PM me..
Biashara matangazo bibiye but just tel us how many men u need 2 satisfy your demand
Kumbe unatafuta serious mEn..?!! nilidhania unahitaji a serious mAn. Nishaghaili and I seal the deal. Iyo njia-kuu itakuwa na foleni sana, mwishoe nami nitaishia kwenye michepuko bure. akhuu!
ukisusa wenzio wala..!
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..I need a serious man..
Am 23,
Mhaya na ni mnene kidesign..
Shepu ya kihaya to be precise..
Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!
Imight not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..
Kazi kwenu serious men..PM me..
Hiyo njia itakuwa poluted, inaonekana imetumika sana na haitamaniki tena.Mwanaume atakayekuoa lazima ajiandalie na mchepuko, bila hivyo hata kaa na wewe.
ww si ndo ulioipolute..!ata nikitumika haiishi my dear.!ipo pale pale haiji usoni.!
mimi leo ndio mara ya kwanza kufika jukwaa hili
niemvutiwa kusoma topic ya SALMA jay maana nimeona ina response kubwa sana
Kumbe kuna watu humu ustaarabu mdogo, majibu ya kejeli, matusi na kadhaliak bila sababu ya msingi. lengo la jukwaa hili ni kuwapa nafasi watu kama hawa kuongeza wigo wa kupata potential husbands, tusiwakatishe tamaa kwa maneno ya kejeli na provocation.
Mwenyewe kasema anayeona anafit aingie PM kiroho safey, sasa kejeli za nini? Mods sijui wako wapi wawafunze adabu watu wa aina hii
N.B nadeclare interest mimi nimeoa tayari.... all the best Salma