Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
- Thread starter
- #121
NINA SIFA ZOTE HIZO LAKINI MI NI MFUPI ZAIDI YA JOTI......ha ha ha ha wanawake bwana sasa urefu unakuongezea nini katika maisha yako...au unene wa mwanaume unapunguza jinsi ya yeye kukupende.Mapenzi ni moyo wa mtu si maumbile hizo ni tamaa
kila mtu ana choice yake..ata ww uliuliza hilo swali una choice yako so usijifanye kuna jipya apo