Bilionaire kekeman
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 142
- 824
AtapataUmeanza vizuri,umeharibu uliposema "hata akiwa jobless" hapa umejichanganya huwezi kupata mwanaume wa maisha kama unavohitaji..
NB:MUNGU AKUTIMIZIE HITAJI LAKO
🤣🤣🤣Ila kwenye Mct Dr haupo au kwa kua upo amerika?
National Anthem finaly tumefikiwa....mrembo anataka ata jobless cha msinginde libolo linafanya kaziBwana yesu asifiwe!
Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.
Mimi kwa jina naitwa witness John Temba ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro.
Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.
Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu
Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
Aseme yeye ni Muhas alumni wa mwaka gani tuanze kupiga ramli
Mkubwa hauna utaniAseme yeye ni Muhas alumni wa mwaka gani tuanze kupiga ramli
Bachelor Degree na Masters una GPA ya ngapi ?
Jioe mwenyeweBwana yesu asifiwe!