seriously dr?im so disappointed teh...
mtoto mzuri..nimemuunga jamaa mkono..kwa sababu hayo masharti yake kwamba awe ameajiriwa serekalini au shirika linaloeleweka(uoni km mtu anajipa kitanzi)..what if kama ni mfanyabiashara mzuri tu..?! then asiwe mnene wala mwembamba..huoni kama ni sida hapo... Inatoa dalili kwamba ni mtu chagu chagua sana...labda kwa sababu ya usomi..nmesoma pia anavyojibu vinegative challange anavyopata haijakaa vizuri..nmejikuta kwamba im taking jf very seriously..sijui kwanini..!?seriously dr?im so disappointed teh...
Kwani dhumuni la vigezo ni nini dr?mtoto mzuri..nimemuunga jamaa mkono..kwa sababu hayo masharti yake kwamba awe ameajiriwa serekalini au shirika linaloeleweka(uoni km mtu anajipa kitanzi)..what if kama ni mfanyabiashara mzuri tu..?! then asiwe mnene wala mwembamba..huoni kama ni sida hapo... Inatoa dalili kwamba ni mtu chagu chagua sana...labda kwa sababu ya usomi..nmesoma pia anavyojibu vinegative challange anavyopata haijakaa vizuri..nmejikuta kwamba im taking jf very seriously..sijui kwanini..!?
Namuona kama she was and still to picky for sure..may be she is not that serious but us spectators are the one who are very serious for herKwani dhumuni la vigezo ni nini dr?
- Well kwa uelewa wangu ili mtu aseme vile anavyotaka kutoka kwa mtarajiwa mfano ikitokea mtu anavigezo vyote lakini hafanyi kazi kwenye shirika hapo anaweza kuconsider kwasababu as long as ana kipato kinachomuingiza pesa sio ishu sana.Ila kwa mtazamo wangu ametaka kubase kwenye safe side zaidi ili apate uhakika wa kipato kwasababu biashara wakati mwengine inalipa na wakati mwengine ndo kama vile.
- Ana chaguo la kuchagua umbile la mtu mbona ni kawaida sana hakuna mtu anayetaka kimbaumbau ka fidodido au bonge nyanya….besides ukiwa na kitambi it stands infront of everything on your way:smile-big:…you should know better than that:smile-big::smile-big:na she wasn't that picky anyway hajataka mtu mwenye six pack or masculine body….naona mmejisahau kidogo na nyinyi mlivyo mahodari kuchagua maumbile sijui mnataka mtu kwenye kishtobe sijui mshedede….and by the way i take jf seriously too but not when it comes to relationships cause people are not serious as you observe...
Duh, dada ulikua wp? Kwa ushauri subiri utafutwe ww na utongozwe maana ww ni kama umeshindikana unaanza kuforce, wife material wanatafutwa sana na ni hadimu, bila shaka ww utakua sio ndo maana unajitangaza.
Je wewe sio Malaya...Je bado uko sealed?
SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani
SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani
Sielewi kwanini watu wapo so rude na huyu mdada,yeye katoa vigezo vya mtu anavyotaka kama huna pita kimyakimya,kwa umri alokuwa nao amepevuka na anajua anachotaka sio mtoto wa form 2 hata mavuzi hayajaota vizuri .Na swali jingine la chapchap unafikiri na elimu alokuwa nayo angelikuwa na umri gani?Mnaharibu sifa la jukwaa hili and i doubt if you are really wise!!
SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani
Sielewi kwanini watu wapo so rude na huyu mdada,yeye katoa vigezo vya mtu anavyotaka kama huna pita kimyakimya,kwa umri alokuwa nao amepevuka na anajua anachotaka sio mtoto wa form 2 hata mavuzi hayajaota vizuriâ¦.Na swali jingine la chapchap unafikiri na elimu alokuwa nayo angelikuwa na umri gani?Mnaharibu sifa la jukwaa hiliâ¦and i doubt if you are really wise!!
Siku hizi wanawake hawana masharti kwa kuwa waoaji wamepungua sana.
punguza masharti angalau ubaki na sharti 1 tu
..i see..!gorgeous, lols
lakini 28-33yrs ni umri mzuri Sana, sijui kwa nini wadau wanaponda aisee