Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,493
- 2,357
OkeyI'm in the north zone too, I'm an engineer (just graduated), a lutheran too, but unfortunately I'm 25 y/o.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameenda wapi bibie?Chura ninayo sema hayupo kwa sasa.
I am looking for a true love later to be my husband - JamiiForumsWapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu haahaa umri wako unaonekana unakwenda kwa kasi sana ndani ya wiki umeongezeka miaka ya kutosha
Njoo nina sifa zote we ni pmWapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Khaaaa!Mimi mwenye 32 nimekosa mke.
mi nina 33 nishakosa sifa
Mambo ya umri yatakufelishaSasa mf.30 mimi 28 inakuwaje?
Mwanamke anayetaka mwanaume wa "kusikilizana" hafai kama kikokotoo cha mama. Mke kazi yake ni kusikiliza tu!
Sent using Jamii Forums mobile app