Natafuta mume mkristo

Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Ninaidhi vogezo vyote. Ila age uliyoweka ndio kikwazo. In short niko chini kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlutheri, Kanisani unaenda, tena huwa kuna makongamano na menginenmengi.hivi kweli umekosa MTU huko . basi amua kusali makanisa kadhaa ukimuona unampenda Fanya yako ajue a propose. Humu wamo Waziri lakini Mh!!!
 
Hello Blue Color Hi,nami natafuta mchumba na nakidhi vigezo vyote ulivyoweka, tafadhali tuwasiliane kwa namba 0759 918313
Asante
 
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
mkuu nipo mimi nami natafta.

Mwanza!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom