Natafuta mume mkristo

Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Nipo hapa nina vigezo vyote ulivyo taja ni chek hapa 0714254529 sms tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF ni kiboko mtu anajiunga siku ya kwanza na promo ya kutafuta mume?, ama kweli nyama ni zile zile ila bucha tu zinabadilishwa.

We have to think big
Acha roho mbaya sio nzuri tumeambizana so lazima mtu aje naye afanye yake.
 
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Ok, hapo kwenye umri waelewa tumekuelewa, Umri wako sahihi ndo huo ulioweka kwenye vigezo (34-38) so unahitaji mkongwe mwenzio! Kila lakheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo vipo ila naomba picha yako kwanza
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Umri kuanzia 26-28 ndo nn hko?...kua specific basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom