Natafuta mume jaman

bora ungesema tu unatafuta bf....kuliko kutafuta mume...isipowork out je? :alien::alien:
 
I wish ningekuwa na hizo sifa....Sasa ningekuwa namalizia namba zangu kwenye timu ya football ya akina mama....Mie mwenyewe nabaki kuwa The special one wao!!


Duuuuuhhhh....Uzee shida sana!

Anyway..yote ni maisha!


Babu DC!!
 
Mleta mada tunaomba ufunguke zaidi katika haya kwani na wewe umeyataja kwenye sifa za mtarajiwa wako uliyemtaja:

1. Umri wako
2. Sehemu ulipo

Nb. Usije ukawa ni yule mdada jini (refer ile story ya jamaa wa mbeya iliyokuwa iliyokuwa clouds last week na Dina)tusije tukapoteza vifanyio vyetu. Tunavipenda dada kwani ndo vinavyotufanya tuwe wanaume rijali.
 
Kumbe wanaume siku izi ni dili ivi ? duh! Utapata jipe moyo yupo njiani anakuja


ata wanawake wenye haiba ya kike pia ni dili sana
awapatikan ovyo....na ndiyo maana utasikia ahh NATAKA KUOA LAKIN SION WA KUOA....thats wapo wachache wenye sifa km ilivyo UCHACHE WA WANAUME WENYE SIFA ZA KUITWA MUME.


dada utapata usijali mpz....usife moyo ..gods time is always the best...uwez jua kwanini umechelewa kupata mwenza...au kwanini uliyemtegemea mtafunga ndoa kakuzingua...JUST MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO.....




nina iman mume atakuja bt not via jf....

pa1.
 
Ha ha ha ha ha

Ujue nina GPA ya >3.5 afu injiniaring'i


Sasa kama wewe ngwini hata kama unayo ya 5 imekula kwako.

Tutakutana kwenye mchujo wa GPA! Interview ni lini? Dead line of application ni lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom