Natafuta mume jaman

Mume/ mke sio bidhaa.Nashauri indo kigezo cha elimu na "kumpenda Mungu". Kuna wanaume wengi hawana Digrii kama mimi lakini ni watu wazuri tu. Pia swala la imani ni la mtu mwenyewe...wangapi tunawaona kwenye nyumba za ibada lakini wanaishi maisha tofauti?......Ukiondoa kigezo cha elimu na "kumpenda Mungu" mimi pia nitatuma maombi....
 
Nitafute tafadhali

0657416150

habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi

mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda mungu na pia kumtumikia mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima hiv

kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
 
Habari jaman, mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo: 1.mimi nampenda Mungu 2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu. 3.napenda sana watoto 4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto 5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa) 6.nina makalio lakini si makubwa sana. 5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo) 6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma 7.ni mnene kiasi Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo; 1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu 2.mwenye upendo wa kweli na mkweli 3.umri kuanzia miaka 35-40 4.elimu yake awe at least na first degree 5.awe anafanya kazi 6.awe tayari kupima HIV Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
makalio kumbe unayo....mhm
 
Habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda Mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi

Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima HIV

Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.

aliyekwambia mume mwema anapatikana jf ni nani?
 
Mimi napenda watoto kama nilivyojieleza na pia hutembelea vituo vya watoto yatima just to play with them because so that is where this name started.asante kwa wish yako.

Very interesting, I like this kind of woman here. Sisi wengine ni vile tu wazazi wetu walichelewa kupendana bwana ila otherwise ningekutafuta sister, maana tupo wengi sana ambao hatujapata wenza humu. But it's ok wishing you all the best.
 
Huna mtoto afu unajiita mama samwel sijakuelewa kiasi tupe jina lako halis pia weka mawasiliano ya cm ya kiganjan
 
Elimu sio issue dada, mfano mzuri mimi na babaBeata nimemzidi elimu, lakini tunapendana na nnamuheshimu! Mchagua jembe si mkulima.
 
Very interesting, I like this kind of woman here. Sisi wengine ni vile tu wazazi wetu walichelewa kupendana bwana ila otherwise ningekutafuta sister, maana tupo wengi sana ambao hatujapata wenza humu. But it's ok wishing you all the best.

ni PM umri wako halisi niko interested
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom