Natafuta mume jaman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mume jaman

Discussion in 'Love Connect' started by MAMA SAMWEL, Sep 20, 2012.

 1. MAMA SAMWEL

  MAMA SAMWEL Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  post deleted
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,264
  Trophy Points: 280
  so what's behind the name MAMA SAMWEL!??
  eniwei, Muombe Mungu atakupa tu mume mwema my dia...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MAMA SAMWEL

  MAMA SAMWEL Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi napenda watoto kama nilivyojieleza na pia hutembelea vituo vya watoto yatima just to play with them because so that is where this name started.asante kwa wish yako.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa makalio nayo ni asset ya kutangaza kutafuta mume siku hizi?
   
 5. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatari sana yaani first appearance jf tayari unatafuta bwana, halafu mpaka unafikia kusoma masters hunamtu ambae anaweza kuwa mmeo mpaka leo significantly we utakua unashida kiasi kwamba umekua unakimbiwa na wanaume wote waliotangulia, umejitadescribe kuwa unatabia nzuri bt m worried wats wrong wit yu pamoja na uzuri huo bado tu haujapendeka mpaka kaolewa, may bado haujafunguka zaidi kuhusu weakness zako ungetujuza ingekua poa pia
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Nina sifa ulizotaja hapo juu, na zaidi, nina mtoto. Nimevutiwa na sifa zako, japokuwa hujamwelezea baba samweli
   
 7. MAMA SAMWEL

  MAMA SAMWEL Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  me nimejieleza nilivyo na ndo nilivo am very open so kama umekwazika na kauli yangu basi nisamahe
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sijakwazika usijali
   
 9. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kumbe wanaume siku izi ni dili ivi ? duh! Utapata jipe moyo yupo njiani anakuja
   
 10. MAMA SAMWEL

  MAMA SAMWEL Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante sana
   
 11. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwa sifa zako zote,hii ndio imenivuta zaidi......atleast,ni PM kwa mawasiliano,hapa mume umepata tayari

  Mods pliz fungeni thread hii,sitaki competition zaidi
   
 12. mwathu

  mwathu JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mimi nina sifa zote except umri ndio kidoogo umekuwa zaidi yangu, vipi naruhusiwa ku inbox
   
 13. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aha ha ha ha ha!!! kama usiogope competitions lazima ujiamini mwana na pia mchaguzi awe na wide range of selection.
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Muweke wazi mumeo mtarajiwa, unaprefer mjegeje wa rambo ama kibamia.
  Itakusaidia kupunguza selection towads corect one.
   
 15. k

  karatta Senior Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nna vigezo vyote tatzo dini,Mimi naamin mizimu ya Kwetu
   
 16. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  3 & 6 vimenishinda

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 17. M

  Maryrose Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi kwa nini JF Members wengi mnapenda kukejeli wengine katika issue serious?
  Hii Love connect sio kituo cha ushauri ni sehemu ya kutafuta marafiki na wapenzi (kama wanapatikana).Ukiwa na ushauri upeleke katika main forum ya mahusioano sio sub forum hii.Na ukiwa una kejeli zako zitafutie forum nyingine.
   
 18. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tutakutana kwenye mchujo wa GPA! Interview ni lini? Dead line of application ni lini?
   
 19. T

  Tewe JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Usife moyo pia omba Mungu akuongoze katika hitaji lako
   
 20. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kuliona hilo.. Kuna watu wanaendekeza kejeli tu na maneno maneno.
   
Loading...