Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,967
me kuna siku nilikuwa kijiweni na wazee alafu nikaropoka me sirogeki! wale wazee wakaniuliza unasemaje kijana! nikajibu hapana natania tu!
Nilikutana na padri mmoja aliyekuwa anafanya utafiti kwa ajili Phd yake.
Anasema alizunguka kwa waganga wote maarufu nchini, mpaka nchi za jirani kujalibu kupata taafa zake ila kati ya mambo ambayo alisema hayapo ni "UCHAWI". Anasema kuna sumu, na mazingaombwe lakini uchawa kama ule wa kudai mtu kuruka na ungo ni uongo na kwamba hakuna anayeweza.
Ni mchango wangu tu.
Mkuu U-Tube, yote aliyosema Mzizi Mkavu kule juu ni kweli, ila hiyo listi ya majini na hizo picha ni uongo.Pasco huyu MziziMkavu kila mada za namna hizi lazima atuwekee mapicha yake ya kutisha!!! huyu MziziMkavu kama anatumia ile nguvu kutoka ndani basi atakuwa anatumia uchawi kuipa nguvu na sio nguvu za ki Mungu!!
Mkuu YouTube Usiogope hizo picha sio za ukweli ni picha za kutisha lakini ni uongo mtupu usiogope mimi ninatumia Dawa za Mitishamba situmii nguvu za giza usiogope kabisa Muogope Mungu kila kitu kitakuogopa wewe Dawa zangu hizi hapa chini angaliaPasco huyu MziziMkavu kila mada za namna hizi lazima atuwekee mapicha yake ya kutisha!!! huyu MziziMkavu kama anatumia ile nguvu kutoka ndani basi atakuwa anatumia uchawi kuipa nguvu na sio nguvu za ki Mungu!!
Ni pm majina yako matatu na ya mama yako
Unataka kurogwa ni kati ya :
1:kifafa
2:kichaa
3:kukosa haja zote
Au upigwe na radi
NB lawama na hasara ni juu yako wewe uliejitakia
Mkuu U-Tube, yote aliyosema Mzizi Mkavu kule juu ni kweli, ila hiyo listi ya majini na hizo picha ni uongo.
Hayo ya wachawi, pia kwenye mada yangu kule nimeieleza mpaka jinsi ya kutengeneza uchawi wa kuruka hewani!.
Pasco
Ni pm majina yako matatu na ya mama yako
Unataka kurogwa ni kati ya :
1:kifafa
2:kichaa
3:kukosa haja zote
Au upigwe na radi
NB lawama na hasara ni juu yako wewe uliejitakia