Natafuta mtu wa Kuniloga

Mkuu NGULI, kitu cha kwanza ni hongera!, kwa sababu you have the power to say no!.
Uchawi upo, ila una act tuu kwa anae amini!. Kwa kutoamini uchawi, tayari unakuwa umejiwekea shield, haulogeki!.
Hii shield ni manifestations of powers from within ambayo ni kubwa kuliko nguvu yoyote nyingine!.
Ukiishaweza kuitumia kuzuia uchawi, unaweza kuitumia kuzua magonjwa yoyote, na kushield familia yako yote dhidhi ya magonjwa au maovu yoyote!.

Ukiisha kamilisha hilo, hiyo powers sasa ugeuzie upande wa success kupata mafanikio on whatever you do!, kazi nzuri, pesa nzuri, mke mzuri, nyumba nzuri, gari zuri na kuishi top life!.
Ni wewe tuu!.
Karibu unitembelee hapa Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Pasco
 
Last edited by a moderator:
NGULI Mkuu kulogwa ni state of mind, inayotokana na social ills.
Sasa usitafute mchawi, mchawi unaweza kuwa wewe mwenyewe.
Sasa sikiliza vizuri, nenda kamwibie yule jirani yako na asikuone.
Au nenda kwa yule jirani yako mwingine na ulale na mke wake.
Yule jirani wa mbali, hebu mtungie uzi wa uongo na kufanikiwa kwa uongo wako ni mpaka huyo jirani yako apate mdhara makubwa makubwa.

Halafu baada ya miezi sita rudi hapa umtafute mchawi wako!!!!
 
Last edited by a moderator:
NGULI Wewe ni kaa mtu aayesee hakuna kufa anatafuta mtu wa kumwua.
 
Last edited by a moderator:
Pasco Nakushukuru sana kwa maelezo yako nannitafwatilia hio link. Wengine wameishia kumitusi badala ya kuwa positive kama wewe. Thanks
 
Last edited by a moderator:
NGULI We unataka ulogwe mara ngapi wakati apo tu ulipo shetani keshakufanya kimbola yake.
 
Last edited by a moderator:

Tiger tunajua kwamba huu mchango ni wako peke yako mwaya
kuwa na amani. .ni wako tu!
zat opinion iz bilongi to yu, it iz yuaz..!!!
 
Last edited by a moderator:
Sikutemea hii judgement kutoka kwako. i thought your thinking capacity is beyond this.....

NGULI na wewe ujionee zaman na mimi nlikuwa nafikiri huyu jamaa@YERICKO NYERER yuko smart upstairs kumbe fyuuuu
 
Last edited by a moderator:
Wapowaliokuwa fake hilo tutalianzishia thread na nitakuja na evidence, sio wote waniitao bwana bwana wataingia ufalme wa Mungu, pia siku za mwisho zikifika utasikia niko huku niko kule msiwasikilize......

We hata hueleweki kama unaamini Bible imesema hivyo na hata unaitumia kudefend point yako.

Mbona Bible hiyo hiyo inaongelea mambo ya kichawi tena kwa kina tu or you believe some parts of it then be it completely.
 
NGULI Hebu weka hapa kwanza una nini hasaaaaaaaaaaa ? orodhesha mali zako zoooote watu wathaminishe waone kama it pays kuanza process.....nakwambia uchawi upo sana tu. Pamoja na kuamini uwepo wa uchawi bado siamini kwamba naweza logeka as nina kinga imara.......niko chini ya mwamba mkubwa sana ukija na nia zako mbaya hutaniona kamwe.
 
Last edited by a moderator:
Kamuulize mkulu wa kaya alipatwa na nini juu ya jukwaa ?, kipindi kileee.....cha kutafuta fursa pande zileee.
 

Kama maisha yako hadi sasa ni muujiza,ndo kurogwa kwenyewe huko!Hakuna mzee wa kipemba hapo jirani yako utembee na mkewe?
 
Last edited by a moderator:
mkuu hizo hazina nguvu.. hats jk hazijumdhuru

we nguchiro umerudi? ulikua wapi au ulifichwa kinyumba na mbaba? karibu jamvini ila badili avatar wengine mashababi wakiona hio picha wanapata mfadhaiko cc kahtaan Boko haram
 
Last edited by a moderator:
NGULI Kweli ww "NGULI" Nimekukubali rasmi leo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Research yako haija kamilika kuna mahali hujafika ebu nenda gende ipo wilaya ya liwale ukifika huko sema haya ya moyo wako unataka kurogwa utapata majibu
 
Kati ya 2000-07, nilikua nafanya shughuli zilizonilazimu kuwa maporini na vijiji vinavyoyazunguka, hapo nililazimika kuishi na raia wa namna unaowatafuta. Nimeona uchawi ukifanywa mchana kweupe. Uchawi upo, ila sijafahamu ni vipi wanachagua victims wao kwani kwa kipindi chote hicho mpaka leo sijawahi kuhisi kulogwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…