Natafuta mtu wa kunifanyia massage

Natafuta mtu wa kunifanyia massage

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Hamjambo marafiki

Jamani sijajisikia kuwafurahisha wala kuwachekesha hapa bali
niko serious kabisa tena sana natafuta mtu wa jinsia yoyote
sichagui wala sibagui ila awe mwembamba kiasi chake
na PROFFESIONAL kwa kunifanyia Massage bomba ambayo
itanifanya nipunguze uchovu wa kazi nyingi nilizofanya OCtober

WASIFA WAKE

:lying: Awe mstahimilivu, mvumilivu
:eyeroll1: Msafi sana asiyenuka ovyo vikwapa kwapa
:crying: Awe alikwenda na wakati yaani si mzubaufu

:smile-big: Awe mwenye kijituma zaidi kikazi zaidi atapewa kipaumbele

:eyeroll1: Awe mwenye kuijua kazi yake kwa ufanisi uliobobea na anayejali

:eyeroll1: Asiwe mpenda :busu maana atakong'olewa na my husband

:eyeroll1: Asiwe mpenda :frusty::frusty: atatolewa kwenye usaili mara ya kwanza
maana hatakiwi mtu wa dizaini hiyo hapa

mengineyo:

KIMTAZAMO ZAIDI


* Awe msafi na mwenye haiba za kuonekana nje na siio ndani

kwa yeyote mwenye sifa hizi ani:director: ataitwa kwenye INTERVIEW

Sitapokea sms wala :cell: zozote zitakazopigwa nataka mtu anibeep
nami nitamtwangia hewani bila shaka marafiki mnielewa vizuri hapa


ONYO: Naomba MARAFIKI msichakachue uzi huu wala kuingiza mambo
yasiyoeleweka hapa ni serious mabestitoooo

Karibuni kwa usaili tarehe 03/11/2013 pale LTHP.

ANGALIENI PICHA ZA WATU WANAOHITAJIKA HAPA

EEE.jpg YYYY.jpg

 
Nipe hiyo kazi nikufanyie uridhike kwa huduma nitayokupa ,no embarrassment.
kama hujaridhika nifukuze no more job at all!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom