Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,543
- 45,786
Nahitaji mtoto mwenye shida vijijini huko mwenye akili aliyeko Shule ya kata na amefaulu huko la Saba na Hana uwezo.
Ada isizidi laki mbili kwa mwaka
Nina uwezo wa mtoto mmoja tu.
Ada isizidi laki mbili kwa mwaka
Nina uwezo wa mtoto mmoja tu.