Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Ok aminia[emoji109]Nipo busy Sana mkuu naapa
Wewe endelea na moyo wako wa kutoa msaada achana na wanaoa kukatisha tamaa hata kama hautasaidia wa kijijin kwenu lakin siyo dhambi kusaidia wa mbali na kwenu Cha muhimu msaada wako unalenga kwa binadaam mwenye uhitaji, kuchukiwa kwaajili ya kutoa msaada ni bora kuliko kupendwa kwa kufanya starehe za kufuru.