Natafuta mtalaam wa Telecomunication

Natafuta mtalaam wa Telecomunication

Habari wakuu,
Natafuta mtalaam wa telecomunication.

Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani.

Kuna rafiki yangu kaniuliza maswala nyeti sana nimeshindwa kumjibu kiufasaha.

Mimi sijui chochote kuhusu telecomunication naomba kuwasilisha maswali yenyewe.

1. Nahitaji kufahamu mfumo mzima wa mawasiliano Tanzania. Mawasiliano ya aina zote.

2. Ni vitu gani vinawezesha mawasiliano kutokea mtu mmoja hadi mwingine au TV a Radio.

3. Ni makampuni gani yanayojenga miundombinu ya mawasiliano Tanzania.

4. Miundombinu ya mawasiliano inatumia principle ipi kufanya kazi.

5. Nahitaji kuelewa zaidi principle iliyopo kwenye minara na satelite katika nyanja nzima ya mawasiliano.

6. Nahitaji kufahamu zaidi devices zote zinazowekwa kwenye mfumo unaowezesha mawasiliano kuwepo.

7. Ni makampuni gani yanauza devices zinazowekwa kwenye mfumo wa mawasiliano.

8. Kuna vitu vinaitwa optical fibres, ni vitu gani na vinatofautiana vipi na vifaa vingine vya masawasiliano.

9. Nahitaji kueleweshwa zaidi mfumo wa wireless na non-wireless. Ni devices zipi zinawezesha mfumo wa wireless.

10. Na mwisho kabisa ni mawimbi (wave) gani ambayo yanawezesha mawasiliano ya simu na data. Na ni yepi yanawezesha radio na TV.

11. Nahitaji pia kueleweshwa zaidi kuhusiana na mfumo mzima wa network (H+, 2G, 3G, 4G, 5G)
Unachokitafuta utakipata.
 
Answer 1
Mfumo wa mawasiliano Tanzania kuna terrestrial microwave, satellites na Public service telephone network.

Answer 2
Vitu vinavyowezesha mawasiliano kutokea ni transmitter(TX), Receiver(RX), Good communication channel pamoja na signal itakayosafirishwa.

Answer 3
Miundo mbinu ya mawasiliano inajengwa na Helios tower tanzania (HTT)

Answer 4
Terrestrial microwave na satellite inatumia principle za radio communication while optic fiber inatumia total internal refraction in a glass medium.

Answer 5
Principle kwenye terrestrial microwave ni line of sight(LOS) Kati ya Transmitter na receiver na signal zinakuwa katika mfumo wa radio waves of a certain frequency and certain power in dB.

Kwenye satellite pia kuna line of sight kati ya earth station, transponder na ground station pia signal inakuwa modulated to suite long distance transmission.

Answer 6
Devices inategemea na mfumo wako wa mawasiliano. Devices za kwenye terrestrial microwave ni tofauti na kwenye satellite na fiber pia, lakini mwisho wa siku lazima uwe na transmitter, receiver, communication channel na signal/information.

Answer 7
1.Huawei
2.Nokia
3.Ericsson
4.Theragon
5.panasonic

Answer 8
Optic fiber ni guided medium au wired medium ambayo imetengenezwa kwa kutumia kioo na signal au information huu pitishwa katika core ikiwa katika mfumo wa mwanga (light), operational principle ya optic fiber ni total internal refraction ambapo mwanga unakuwa confined with the core from Transmitter to receiver.

Answer 9
Wireless communication ina enhance mobility mfano simu yako ya mkononi

Wired ni kama zile simu za mezani zimeungwa na wire.

Devices za kwenye wireless
1.router
2.access point
3.modems
4.microwave antennas
5.satellites
6.parabolic antennas and etc

Answer 10
Waves zinazotumika ni radio waves katika electromagnetic spectrum

Answer 11
Mkuu hii unaweza kugoogle ni evolution of mobile technology ilianzia 1G,2G,HSPA, 3G,LTE,4G na sasa ni 5G
mambo ni mengi kuzichambua hizi mkuu unaweza google ukapata information mimi sio mzuri katika kuandika.
Meneja Wa Makampuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom