Natafuta mtalaam wa Telecomunication

Natafuta mtalaam wa Telecomunication

Mengi hapo ungeweza kugoogle na majibu ungepata ila kama unahitaji kufundishwa ninakaknowledge changu kadogo kutoka chuo bora cha ufundi kaskazini mwa Tanzania naweza kushare na wewe.
 
Habari wakuu,
Natafuta mtalaam wa telecomunication.

Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani.

Kuna rafiki yangu kaniuliza maswala nyeti sana nimeshindwa kumjibu kiufasaha.

Mimi sijui chochote kuhusu telecomunication naomba kuwasilisha maswali yenyewe.

1. Nahitaji kufahamu mfumo mzima wa mawasiliano Tanzania. Mawasiliano ya aina zote.

2. Ni vitu gani vinawezesha mawasiliano kutokea mtu mmoja hadi mwingine au TV a Radio.

3. Ni makampuni gani yanayojenga miundombinu ya mawasiliano Tanzania.

4. Miundombinu ya mawasiliano inatumia principle ipi kufanya kazi.

5. Nahitaji kuelewa zaidi principle iliyopo kwenye minara na satelite katika nyanja nzima ya mawasiliano.

6. Nahitaji kufahamu zaidi devices zote zinazowekwa kwenye mfumo unaowezesha mawasiliano kuwepo.

7. Ni makampuni gani yanauza devices zinazowekwa kwenye mfumo wa mawasiliano.

8. Kuna vitu vinaitwa optical fibres, ni vitu gani na vinatofautiana vipi na vifaa vingine vya masawasiliano.

9. Nahitaji kueleweshwa zaidi mfumo wa wireless na non-wireless. Ni devices zipi zinawezesha mfumo wa wireless.

10. Na mwisho kabisa ni mawimbi (wave) gani ambayo yanawezesha mawasiliano ya simu na data. Na ni yepi yanawezesha radio na TV.

11. Nahitaji pia kueleweshwa zaidi kuhusiana na mfumo mzima wa network (H+, 2G, 3G, 4G, 5G)
Nakushauri Tafuta mtaalamu aliye somea principle of modern communication,atakusaidia sana.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,
Natafuta mtalaam wa telecomunication.

Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani.

Kuna rafiki yangu kaniuliza maswala nyeti sana nimeshindwa kumjibu kiufasaha.

Mimi sijui chochote kuhusu telecomunication naomba kuwasilisha maswali yenyewe.

1. Nahitaji kufahamu mfumo mzima wa mawasiliano Tanzania. Mawasiliano ya aina zote.

2. Ni vitu gani vinawezesha mawasiliano kutokea mtu mmoja hadi mwingine au TV a Radio.

3. Ni makampuni gani yanayojenga miundombinu ya mawasiliano Tanzania.

4. Miundombinu ya mawasiliano inatumia principle ipi kufanya kazi.

5. Nahitaji kuelewa zaidi principle iliyopo kwenye minara na satelite katika nyanja nzima ya mawasiliano.

6. Nahitaji kufahamu zaidi devices zote zinazowekwa kwenye mfumo unaowezesha mawasiliano kuwepo.

7. Ni makampuni gani yanauza devices zinazowekwa kwenye mfumo wa mawasiliano.

8. Kuna vitu vinaitwa optical fibres, ni vitu gani na vinatofautiana vipi na vifaa vingine vya masawasiliano.

9. Nahitaji kueleweshwa zaidi mfumo wa wireless na non-wireless. Ni devices zipi zinawezesha mfumo wa wireless.

10. Na mwisho kabisa ni mawimbi (wave) gani ambayo yanawezesha mawasiliano ya simu na data. Na ni yepi yanawezesha radio na TV.

11. Nahitaji pia kueleweshwa zaidi kuhusiana na mfumo mzima wa network (H+, 2G, 3G, 4G, 5G)
Huu NI mtego
 
Mengi hapo ungeweza kugoogle na majibu ungepata ila kama unahitaji kufundishwa ninakaknowledge changu kadogo kutoka chuo bora cha ufundi kaskazini mwa Tanzania naweza kushare na wewe.
Hamna Ku Google kitu apo, kila kitu kiko wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom