Natafuta mtaalamu anayejua kutengeneza bia

Natafuta mtaalamu anayejua kutengeneza bia

MrIsidori

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
191
Reaction score
83
Ningeomba anayejua kutengeneza bia anifundishe na jinsi gas wanayoweka kwenye bia inapatikana na kama ninaweza kujenga kiwanda kidogo cha bia.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu,

Katika uwekezaji wa pombe kama hizi za TBL na SBL utakuwa na cost kubwa sana za uendeshaji.

Mimi nakushauri ujiingize katika utengenezaji wa pombe za asili ambazo hazihitaji mitaji mikubwa sana na rasilimali watu..

Kulingana na eneo unaloishi, fanya utafiti uone consumers wanaburudika na nini hasa.

Kwa msaada zaidi, zifuatazo ni aina za pombe za kienyeji zilizo maarufu zaidi;

1. pombe aina ya chimpumu, dengerua, kabungusi, kangara, komoni, mbege na chibuku...

2. pombe aina ya Pingu na Gongo,

3. pombe aina ya mnazi,

4. pombe aina ya ulanzi

Watafiti wengi sana wanajivisha vilemba na kudai aina hizi za local beer huwa zina madhara makubwa sana bila kutoa mbinu mbadala ya kupunguza madhara kwa consumers wake, mimi nakushauri uwekeze katika teknolojia itakayokufanya ufanye katika LOW COST na utarget soko flani katika eneo unaloona linafaa..

Ni ushauri wangu tu...

Good evening!
 
Nashukuru kwa ushauri, mimi kwetu kuna mbege kama local brew lakini hamna mnywaji wa mbege asiyependa bia na wengine hawanywi mbege wanakunywa bia, ingepatikana namna ya kutengeneza bia kwa lowa cost halafu iwe na kilevi asilimia 7 ungeuza sana kijin
 
banana wine kilevi ni 12% inauzwa sh.500/= kwa bei ya rejareja na ina wateja wengi sana vijijini....

hivi kiwanda cha kutengeza hiki kinywaji ina gharimu kiasi gani?
 
Ina faida more than 50% of production cost...kama vp ni pm!
 
nitafute mkuu, nmesoma hayo mambow na right now nina project ya wine
 
Ningeomba anayejua kutengeneza bia anifundishe na jinsi gas wanayoweka kwenye bia inapatikana na kama ninaweza kujenga kiwanda kidogo cha bia.
Nina complete formula wee tengeneza tu logo...tunaweza kuiita CiCiMer
 
Dah....Safiii... Tanzania ya viwanda inavyoanza....si lazima tuanze na viwanda vya ndege au magari...[emoji13] [emoji13]
 
Dah....Profesa CiDiMer ingekuwa poa zaidi...dry CiDer[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
10c17fb1d6db39621eeb1dd157effb56.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom