Natafuta mtaalam wa kujaza fomu za US Green card lottery

Utanilipa ngapi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I can help you for free, tena kwa kutumia simu check me PM


I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Awe na ujuzi pia kuambatanisha picha za viwango wanavyotaka wao

Mkuu hiyo ni lottery. U either loose or gain.. Ila wengi wameloose.. Na akaunt zao zimeibiwa hela zote.. Hii kitu ni scam na ina ufaraud pia.. Usijaribu . Waweza hata google ukaona wangap wamelizwa life saving zao
 
Green card lotter ni FREEE....
Kama mlicheza za helaaa ilikula kwenu...
Dv 2016 inaanza October year, details za pic naweza kukusaidia..
 
Green card lotter ni FREEE....
Kama mlicheza za helaaa ilikula kwenu...
Dv 2016 inaanza October year, details za pic naweza kukusaidia..

Sio free. Kujisajili ni free ila kuingizwa kwenye draw LAZIMA ulipie. Hamna lottery ambayo ni bure.
 
Brother kuna hizi Web nyingi sanaaa.....ukianza tu kujaza stage kwanza, mwisho zinakwambia choose way of payment, hata kabla hujatuma pic....achana nazoooooo
Tust me !
Its Freeee.....
 
Ujuzi utauthibitishaje ndugu? Au wamarekani wanaendesha kozi ya kujaza fomu na kutoa vyeti?
 
Ila ukisha shinda na jina lako kutoka ndio kuna process kidogo ya malipo ambayo kwa mtu mmoja haizidi usd 1500
 
Nakushauri usijaribu mimi nimekwisha liwa pesa zangu mara nyingi na kila mara wananiambia jaribu mwakani kama unataka kuchangia mfuko wa Nigeria. Jaza
 
Awe na ujuzi pia kuambatanisha picha za viwango wanavyotaka wao

Huitaji mtalaamu wala nini; kama unaelewa lugha ya Kiingereza vizuri na unaweza kufuata maelekezo basi unaweza kujijazia wewe mwenyewe kwenye tovuti ya State Department. Chance yako ya kutumia third party, mtaalamu n.k haibadilishi odds zako za kushinda.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
green card lottery ni free wakuu.nimegundua nyie mnaosema mnalipia huwa mnagoogle ndo wanawaletea chaguo mbalimbali.Kama unataka iliyo free ukifika muda wake ingieni website ya ubalozi wa marekani nchini Tanzania ni free kabisa tena wametoa na tahadhari maana kuna watu wanatumia fursa hii kupata hela isiyo ya halali.
 
Hapo mkuu ogopatena kimbia na mm ilishwahi kunitokea wakatoa na namba na mm nikampatia ndugu yangu yupo uk akafuatilia kumbe wezi tu so oka nduuuuki
 
Back
Top Bottom