majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 629
niko tayar kukupa shangazi yang anaitwa FaizaFoxyNina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na Kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
55Utu uzima kuanzia miaka mingapi?
Taja faster nione kama nafaa kukuita Daddy bae!
we bado mbichi.Utu uzima kuanzia miaka mingapi?
Taja faster nione kama nafaa kukuita Daddy bae!
Sasa kasema watu wazima na nyinyi wa 2000 mmeshafika🙆Huyu ni wangu niliyepewa na Mungu kabisa
😂🤣😅Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Miaka 57 lililokosa mke mpaka linaingia mtandaoni kutafuta mke, ujuwe hakuna mume hapo, kuna kituko.
Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na Kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
Kweli kabisa! Anataka wa 55 humu atampatia wapiwe bado mbichi.
Wewe ni wetu sisi vijana.
We binti utapata laana jiangalie....we subiria wako anakuja watu wa kale tumefikiwa kaa utulieSasa kasema watu wazima na nyinyi wa 2000 mmeshafika🙆
Mtu mzima kuanzia 55 kwani wapo humu?Rika Hilo wanapatikana kawe au Kimara temboni
Huo uzee unategemea na anayeuona, kuna watu wana 55 kama vile wana 3555 ni mzee sana, mrudie mke wako. Hakuna awali mbovu
Sasa jamani ID yako tu ni sweet 16,halafu u nataka kupambana na sie shangazi zako,tuachie bwana sie wenzio soko letu lipo complicated kidogo😁We binti utapata laana jiangalie....we subiria wako anakuja watu wa kale tumefikiwa kaa utulie
Hivi 5'7 ni mfupi?Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na Kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
Hiyo ni ID tu haina ukweli wowote tafadhi ipuuze😀 na isitoshe kiziwanda changu ndo kilinishawishi kujoin jf na jina kakanichaguliaSasa jamani ID yako tu ni sweet 16,halafu u nataka kupambana na sie shangazi zako,tuachie bwana sie wenzio soko letu lipo complicated kidogo😁