aiseeee!...ila kigezo cha u_handsome hapo ndio kizungumkuti(maake ni subjective kwa vigezo vyako)..ila suala la pesa,kuhonga na perfomance ni easy kwa saaaaaanaHaya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.
Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.
Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.
Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.
Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.
Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.
You wouldn't be better than them then...Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.
Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.
Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.
I missed you tooo...alot.. can we start with you? (i mean in the list?)
In order to get a solution to a problem you have to fully understand it...n thats what i am trying to do. Its like really understanding what makes them have them nyumba ndogoz...then from there i can propose solutions...usiogope... if you cant beat them you are advised to join themYou wouldn't be better than them then...
Does that mshefa mean "humu" kote ushachafua...yani una nyumba ndogo kibao "humu"? ha haaaa...kuwekwa kwenye list ni lazima ili vigezo na masharti vizingatiwe.mimi naitwa 'mshefa' humu..lol
ukitaka mshefa wa uhakika ni pm but huwa siingii kwenye list za watu...
niko above any 'competition.'.....lol
And if you can't change it, then you better take it with humor. Haya mama. Mi msimamo wangu ni ule ule, ukisha jua what we don't know please share your experience so we don't have to repeat all your mistakes.In order to get a solution to a problem you have to fully understand it...n thats what i am trying to do. Its like really understanding what makes them have them nyumba ndogoz...then from there i can propose solutions...usiogope... if you cant beat them you are advised to join them
Does that mshefa mean "humu" kote ushachafua...yani una nyumba ndogo kibao "humu"? ha haaaa...kuwekwa kwenye list ni lazima ili vigezo na masharti vizingatiwe.