Natafuta mkopo wa 5 Millioni, riba 1million baada ya miezi miwili

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,462
29,163
Wadau,
Natafuta mtu wa kunisaidia 5mil.
Nitarudisha 6mil afta 2months
Dhamana naweka kadi ya gari pamoja na gari yenyewe
 
Gari inayowekewa dhamana ni pajero gdi, milango mitano na inatembea.
Mtoa hela yuko huru kuitumia, ila asiigonge
 
Hivi ukienda Bank na kuwaambia hivyo hawawezi kukupatia tena kwa muda mrefu au?tupe picha ya pajero
 
hebu weka picha ya gari mkuu....je hiyo gari inathamani gani ikiwa ukataka kuuza??? Isije kuwa ndio unaiuza kwa style hiyo??
 
Gari siiuzi jamani, mambo ya kuweka picha mwisho mtaanza kuulizia odometre, mwaka, cc, nk.
Market value yaweza kua 9mil
 
Sema kabisa ndani ya miezi 2 usiporudisha mil.5 kila mwezi unaozidi ni laki 5 unanilipa ,Unasemaje?tena tunawekeana saini ,shahidi mmoja awe polis,niko tayari
 
Kama upo serious let me know, Ninaomba detail zaidi ya hiyo gari nikimaanisha thamani yake, km ilizotembea, cc, pia nijue incase ukashindwa kurudisha hiyo pay within 2 miezi kifanyike nini, pia wewe upo wapi i mean full detail yako mwajiri au kama umejiajiri wewe mwenyewe? ni PM
 
Wadau,
Natafuta mtu wa kunisaidia 5mil.
Nitarudisha 6mil afta 2months
Dhamana naweka kadi ya gari pamoja na gari yenyewe
Bank watakupa pesa nzuri kutokana na ubora ya gari yako na wala hawachukui gari wanachukua card ya gani, na deni utakua unalipa laki 5 kwa mwezi, ebu nikulize kitu vp utampa mtu gari humfahau kisa mil5 iyo gari ni yako lakini? kama yako gari inadhamini ya mil ngapi? why usiuze ukamaliziana na mnunuzi kuliko kumpa akitoroka nayo? mmm! mwenzangu hapo kuna walaaakini...
 
Kuna benki inayotoa mkopo kwa dhamana ya movable assets? Sikufikiri hivyo.
pia kuuza gari kwa matatizo kuna hasara zake
 
Back
Top Bottom