Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

Apr 14, 2023
7
0
Habari wakuu.

Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs).

Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu. Naishi Dar es Salaam.

Kwa yeyote mwenye uwezo huo au anayefahamu taasisi inayotoa huduma kama hizo anaweza kunisaidia.

Nawasilisha.
 
Au unauza laptop kijanja mkuu. Unless value ya hyo PC iwe x3 ya pesa unayo azima.
 
Habari wakuu.

Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs).

Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu. Naishi Dar es Salaam.

Kwa yeyote mwenye uwezo huo au anayefahamu taasisi inayotoa huduma kama hizo anaweza kunisaidia.

Nawasilisha.
Thamani ya laptop ni sh ngapi?
 
Mimi niko Mara natoa kwa riba ya 25% kwa mwezi
 
Jaribu watu wafuatao.
Mama/baba mwenye nyumba ulikopanga,
Boss wako,
Mchepuko,
Wafanyakazi wenzio,
Marafiki uliotoka nao chuoni,
Wapangaji wenzio.
Branch au tala.
Ukikosa kote huko jiulize unaishije na watu.
Branch wanaanza na 20K. Kuhusu wengine hao, nikiwaface wataanza kuraise irrelevant speculations na judgement sizizo na tija. Ndo maana nimeamua kuja directly kwa wanajamvi.
 
Duh pole mkuu...ila itaonekana ni kama vile unauza hiyo laptop Kwa namna nyingine, thamani inabidi iwe mara mbili ya kile unachotaka.

Kwa ushauri Kwa dhamana ya hiyo laptop na thamani yake, basi kopa 250K Hadi 300k bila hivyo utasumbuka
 
Kwa hio laptop huwezi weka dhamana ya mkopo wa 400K labda mkopo wa 250K hivi.

Pia hio laptop haina thamani ya 550K ukitaka kujua thamani yake iingize sokoni unaiuza ndio utajua.
 
Back
Top Bottom