Natafuta mkopo wa 5 Millioni, riba 1million baada ya miezi miwili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mkopo wa 5 Millioni, riba 1million baada ya miezi miwili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shark, Aug 21, 2011.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  Natafuta mtu wa kunisaidia 5mil.
  Nitarudisha 6mil afta 2months
  Dhamana naweka kadi ya gari pamoja na gari yenyewe
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Gari inayowekewa dhamana ni pajero gdi, milango mitano na inatembea.
  Mtoa hela yuko huru kuitumia, ila asiigonge
   
 3. u

  ugawafisi Senior Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si uuze tu tujue moja. Gari yenyewe inathamani gani? Consider depriciation.
   
 4. L

  LadySwa Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hivi ukienda Bank na kuwaambia hivyo hawawezi kukupatia tena kwa muda mrefu au?tupe picha ya pajero
   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hebu weka picha ya gari mkuu....je hiyo gari inathamani gani ikiwa ukataka kuuza??? Isije kuwa ndio unaiuza kwa style hiyo??
   
 6. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Pajero GDI haiuziki.,huyu mdau anatafuta njia ya kuuza kiaina
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Gari siiuzi jamani, mambo ya kuweka picha mwisho mtaanza kuulizia odometre, mwaka, cc, nk.
  Market value yaweza kua 9mil
   
 8. L

  LadySwa Member

  #8
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sema kabisa ndani ya miezi 2 usiporudisha mil.5 kila mwezi unaozidi ni laki 5 unanilipa ,Unasemaje?tena tunawekeana saini ,shahidi mmoja awe polis,niko tayari
   
 9. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kama upo serious let me know, Ninaomba detail zaidi ya hiyo gari nikimaanisha thamani yake, km ilizotembea, cc, pia nijue incase ukashindwa kurudisha hiyo pay within 2 miezi kifanyike nini, pia wewe upo wapi i mean full detail yako mwajiri au kama umejiajiri wewe mwenyewe? ni PM
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Sawa lady
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,558
  Likes Received: 12,832
  Trophy Points: 280
  hii itakuwa deci mpyaaaa
   
 12. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hi tuwasiliane 0786148148
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Deci mpya kivip na wakat nakuachia kadi na gari unatumia?!!
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bank watakupa pesa nzuri kutokana na ubora ya gari yako na wala hawachukui gari wanachukua card ya gani, na deni utakua unalipa laki 5 kwa mwezi, ebu nikulize kitu vp utampa mtu gari humfahau kisa mil5 iyo gari ni yako lakini? kama yako gari inadhamini ya mil ngapi? why usiuze ukamaliziana na mnunuzi kuliko kumpa akitoroka nayo? mmm! mwenzangu hapo kuna walaaakini...
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nenda Akiba bank kachukue mkopo na hiyo gari yako
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Kuna benki inayotoa mkopo kwa dhamana ya movable assets? Sikufikiri hivyo.
  pia kuuza gari kwa matatizo kuna hasara zake
   
Loading...