Natafuta mke wa mtandaoni

Lengo la kutaka aliyeng'oka meno ni kutaka kuinjoi BlowKazi ama nini?

Wapo mabinti wa 90 mwishoni kuja 2000, hiyo kazi wanaijua hadi kupitiliza

Ndiyo maana huwa nasisitiza gari bovu huvutwa na nzima 😜
aisee haya mazaga ni mtandaoni hizo kitu nitaenjoi wapi na sitakuwa na wakati wa kukutana na kiumbe
 
Wewe ni me au ke?
 
nawe hata nje ya boksi si ungejaribu!!!! umeelewa hivi na uhakika kabisa ukamwagika
πŸ˜€
 
Mke wa mtandaoni nipo hapa....baby wangu njoo tuzame kwenye dimbwi la mahaba. Nitakupa mahaba utafurahi wewe, nyuzi na tag, cc hazitakauka huku.

Ingawa swali langu ni moja.....je hela za kutumiana mtandaoni zitakuwepo??????
 
Kama ambavyo tutakaribishana chakula mtandaoni, na kutoka kwenda club mtandaoni... na hela tutatumiana mtandaoni.
 
Nimesoma comments nyingi za wadada zinasisitiza sana mambo ya kutuma hela,hii inaonyesha kunasa nyoyo za wadada hela inahitajika sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…