Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
- Thread starter
-
- #21
Na mimi nataka uongo huohuoUmekuwa mvivu sana Pamoja na Ukongwe wako...
Maana mm nina amini % ya mapenz ya waz waz hapa jf ni ya uwongo. Na kuna yale yanaendelea PM huko ndio ya walio serious na kutafuta mwenza.
hayo unayotaka ww nadhan ni rahis sana. Kuwa tu serious na active. Kuna pisi nying sana jf zinaweza mudu hivyo vigezo vyako.
Haswaa!Nadhan hujamuelewa mtoa mada.
Yamkini ana mpenz/mke . Ila kuna namna haenjoy mahaba .
Yeye anataman mwanamke wa kutumiana sms/uzi hapa JF tu( msisitizo uweke hapo). Maana hata PM haitahusika kama wakishakubaliana.
No number. No pic. No kuombana chochote. Zaid zaid huyo mpenz wake wawe wanatagiana huku. Kusifiana. Kuambiana maneno mazur nk nk.
Ila atleast jamaa kawa muwazi.
Maana kuna vidume huku wana akaunt ya kike na kiume.
Na zinafanya kusifiana + mahaba.
ππππ
Una uhakika huyo ni kijana? Isijekua ni ID nyingine ya mzee Grahamsππ
Mimi nafikri vijana tunahitaji sana msaada mzito wa kisaiskolojia , WE ARE TRULY DOOMED
View attachment 3475743
Na mimi nataka uongo huohuo
ππ
Kiukweli mimi ni mzee
Bado hajanicheki aisee, nasubiri mja aje inboboNimemuona Bonge kakugongea like nadhani atakua kashaingia PM na mshafanya yenu
Bonge lazima aje inbox mpe mudaBado hajanicheki aisee, nasubiri mja aje inbobo
π π Wazee tunamiliki ID moja kama kumiliki Moyo tu
Mzee mwenzangu nitafutie mzee aliyeng'oka meno anayeweza kufurahia penzi la mtandaoniπ π Wazee tunamiliki ID moja kama kumiliki Moyo tu
Kama utakuwa unatuma pesa mtandaoni nipo hapa mkuu, my husband to beNatafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.
Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.
Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.
Nawasilisha.
Lengo la kutaka aliyeng'oka meno ni kutaka kuinjoi BlowKazi ama nini?Mzee mwenzangu nitafutie mzee aliyeng'oka meno anayeweza kufurahia penzi la mtandaoni
Au umeanza kuwa depressedNatafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.
Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.
Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.
Nawasilisha.
Nyie wazee wa afu mbili hamuaminikiπ π Wazee tunamiliki ID moja kama kumiliki Moyo tu
Si ulee wajukuuu mzeeKiukweli mimi ni mzee
Senti 5 kila siku upo tayari?Kama utakuwa unatuma pesa mtandaoni nipo hapa mkuu, my husband to be
ππhakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.
Nawasilisha.