Natafuta mke wa kweli

Natafuta mke wa kweli

Huku Kuna

  • Ma gube gube.
  • Chronical single Mothers.
  • Women with multiple partners
  • Wezi
  • Wanyang'anyi
  • Matapeli wa mapenzi
  • Walokole feki
  • Wachawi.
  • Washirikina
  • Majini yenye miili ya watu
  • Frustrated Women
  • Wamama wazuri wenye ndoa

Hemu angalia kwingine Bro, this is a camp of useless broken people! Kama umekosa kabisa Bora ukahasiwe kuliko tafuta mke humu

Mungu amekupa akili siyo kwa ajili ya Mapambo bali za kuzitumia ,,ni vizuri kuzitumia,, husitumie hisia tumia akili pekee unapoamua kutoa maoni yako mbele za watu
 
Wachungaji wenzako huwa wanaoa humohumo kanisani miongoni mwa washirika. Ina maana unaanza kazi na huna washirika? Piga injili upate washirika, mke utampata humohumo, kwa hapa utaishia kuzodolewa mtumishi
Siyo kila mwanamke ndani ya kanisa ni mke mwema ,,pia siyo kila mke mwema ni mke wangu!.
 
Ndugu pastor inaonekana Mungu/roho mtakatifu amenyamaza sana upande huo Hadi umeamua kutangaza mtandaoni.

Anyway, Nakutakia yaliyo Mema.
Hapana hajanyamaza ,,,maombi yanaenda na tendo la imanii,, hii ni hatua ya imani ,,ukiomba fanyakazi kazi,,ili Mpate kuna kazi ya kuangalia sasa siyo kweli kwamba Ukiomba Mungu anakuletea bali ukiomba unamwona ,ko unalazimikq kuenda hukuhuku na huku na Mungu atakukutanisha naye
 
Mungu amekupa akili siyo kwa ajili ya Mapambo bali za kuzitumia ,,ni vizuri kuzitumia,, husitumie hisia tumia akili pekee unapoamua kutoa maoni yako mbele za watu

Stop being personal, nyie ndo wale watu mlikuwa mnatembea na ma vitabu Makubwa ya physics mkiwa for six na kujidai mpo serious na mkafeli wotw
 
Stop being personal, nyie ndo wale watu mlikuwa mnatembea na ma vitabu Makubwa ya physics mkiwa for six na kujidai mpo serious na mkafeli wotw
Akili zako zimepoa kama Upendo wa watu wengi katika siku za mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom