uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,932
Mwamba tukikaa na wewe vizuri utatupa semina au kilichokukuta ni SIRI YAKO?
Kwa yaliyonikuta, nipo tayari kabisa Kwa gharama zangu kukaa chini na kuwaelezea kwamba Mwanamke, hapana, Bila Mungu na ukamilifu, hafai!