Natafuta mke wa kweli

Natafuta mke wa kweli

HAO ni mamoderators mimi niliandika natafuta Mama mchungaji nimeshangaa kuandikiwa mke wa kweli,,ila siyo mbaya ingawa siyo mantiki yangu
Asante kwa ufafanuzi la nyongeza kwako muombe Mungu atakuongoza nyonta njema huanza asubuhi hata wewe mwenendo wako utachangia kumpata mwanamke unaye muhitaji, kama wewe utulivu F utampata pia mwanamke mwenye utulivu ni F
 
➡ Jina: *
➡ Umri: Miaka 29
➡ Mahali: Tabora
➡ Hali ya maisha: Uchumi wa kawaida, maisha ya utulivu
➡ Muonekano: Mweupe kiasi, mfupi wa saizi, mwembamba
➡ Mawasiliano: lubeadamas@gmail.com

Ninachotafuta

Siko hapa kutafuta urafiki wa mazoea au burudani za kimtandao. Niko hapa kwa nia moja: kutafuta mke wa kweli – ambaye hatakuwa tu mke, bali pia mwenza wa huduma.

Sifa ninazotamani kwa mwanamke:

Umri 19_31

Mwenye hofu ya Mungu

Mwenye unyenyekevu wa moyo

Mwenye kufundishika

Mwili wa wastani – asiwe mnene sana wala mwembamba sana, lakini anipendeze machoni

Elimu si kigezo – moyo wenye maadili ni bora kuliko cheti

Aliye tayari kuwa mke wa mchungaji, sio kwa jina tu bali kwa maisha ya wito.

Kwa Nini Hapa?

Mimi naamini Mungu kunipa mke wangu, ila sinauhakika nitakutananaye wapi – labda ni hapa.
Naamini ukija tu, nitajua kama ni wewe au siyo.

📩 Karibu tuwasiliane kwa heshima.
Lubeadamas@gmail.com
Unasumbuliwa na nyege tu wewe zikikuisha utatamani kufuta huu ujinga, yani tabora yote ukose mwanamke mwenye hivyo vigezo uje umpate humu!!! Kwanza humu wanawake wachache sana na pia wengi wao wanaishi Dar.....sasa wewe ulisikia wapi mwanamke atoke Dar aende kufata bwana Tabora?!....
 
Unasumbuliwa na nyege tu wewe zikikuisha utatamani kufuta huu ujinga, yani tabora yote ukose mwanamke mwenye hivyo vigezo uje umpate humu!!! Kwanza humu wanawake wachache sana na pia wengi wao wanaishi Dar.....sasa wewe ulisikia wapi mwanamke atoke Dar aende kufata bwana Tabora?!...

Unauhakika huyu dadayako huku Tabora anazo hizo sifa? Mbona unanilazimisha kumuoa?pia sitaki kuoa kwenyee Familia yenu,,akili zimeisha kuliko divai ya harusi ya kana!.
 
Ngozi nyeupeee! 📌

Ulipata ufumbuzi wa ishu yako ya meno? Gharama zao zikoje? Nipe connection kama wapo Misungwi, Mwanza au Dar 🙏🏿
Najutaa🤣🤣acha nichanganye damu bwana....

Yes nilienda hospital ya serikali ,nitawekea hapo
Yale meno og ambayo SI ya kutoa, 1 laki moja
 
➡ Jina: *
➡ Umri: Miaka 29
➡ Mahali: Tabora
➡ Hali ya maisha: Uchumi wa kawaida, maisha ya utulivu
➡ Muonekano: Mweupe kiasi, mfupi wa saizi, mwembamba
➡ Mawasiliano: lubeadamas@gmail.com

Ninachotafuta

Siko hapa kutafuta urafiki wa mazoea au burudani za kimtandao. Niko hapa kwa nia moja: kutafuta mke wa kweli – ambaye hatakuwa tu mke, bali pia mwenza wa huduma.

Sifa ninazotamani kwa mwanamke:

Umri 19_31

Mwenye hofu ya Mungu

Mwenye unyenyekevu wa moyo

Mwenye kufundishika

Mwili wa wastani – asiwe mnene sana wala mwembamba sana, lakini anipendeze machoni

Elimu si kigezo – moyo wenye maadili ni bora kuliko cheti

Aliye tayari kuwa mke wa mchungaji, sio kwa jina tu bali kwa maisha ya wito.

Kwa Nini Hapa?

Mimi naamini Mungu kunipa mke wangu, ila sinauhakika nitakutananaye wapi – labda ni hapa.
Naamini ukija tu, nitajua kama ni wewe au siyo.

📩 Karibu tuwasiliane kwa heshima.
Lubeadamas@gmail.com
Kwani huwa unao wa uongoo?
 
Mbona uko mkoa wenye pisi kali (wanyamwezi), hujaona kwelii
 
Wewe ni anduje mwenzangu ,hizo habari za mfupi wa wastani ni kujificha kwenye kichaka cha urefu
 
Huku Kuna

  • Ma gube gube.
  • Chronical single Mothers.
  • Women with multiple partners
  • Wezi
  • Wanyang'anyi
  • Matapeli wa mapenzi
  • Walokole feki
  • Wachawi.
  • Washirikina
  • Majini yenye miili ya watu
  • Frustrated Women
  • Wamama wazuri wenye ndoa

Hemu angalia kwingine Bro, this is a camp of useless broken people! Kama umekosa kabisa Bora ukahasiwe kuliko tafuta mke huku
Mwamba tukikaa na wewe vizuri utatupa semina au kilichokukuta ni SIRI YAKO?
 
Pastor,mbona huko Tabora kuna mabibie wema na wazuri?Au unapendelea wenye, angalau,uzoefu wa kuperuzi JF?Nenda Ndewelwa,Kipalapala,Inyonga,Nyambele,Usoke,Magili,Nyahua,Mabama,Intonjanda,Kwihala,Chabutwa,Igombe,Nkiniziwa,Ndala hadi Bukene utampata liwazo lako tu.
wewe huenda ni mkaazi wa tabora mkuu,ila umesahau sehemu moja yenye wanawake wa kuoa,aende busondo,kuna binti mlokole na mahali yake haizidi 2m tu mwambie anipm ila wanawake wa humu wote ni wachamungu ila ukiwaweka ndani rangi zote utaziona. mwambie anipm nimpeleke busondo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom