Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Naonekana umeniona wapi mkuu? Yani mwandiko wangu tu na avatar tayari unanishusha viwango🤨
 
Kisukari kipi cha kupanda au cha kushuka?
Sijajua jamaa anataka mwenye cha aina gani nilichofanya kumkumbusha tu asije akazingatia umri na sukari akasahau suala la utulivu wa nafsi.

Maana kwa umri huo 35 to 40 wengi wastaafu wanatafuta pa kufia akienda vibaya habari yake imeisha.
 
Naonekana umeniona wapi mkuu? Yani mwandiko wangu tu na avatar tayari unanishusha viwango🤨
Sina maana hiyo, lakini legeza kamba, umri unaenda sasa. Mwishowe utafika umri wa umshangazi na utavuka hata level ya umshangazi, shikamoo zitakuwa nyingi.
 
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
ok.šŸ’
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…