Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli.
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.
Shida zangu hasa ni:-
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.
Shida zangu hasa ni:-
- kuliteka jimbo la uchaguzi wa kijiji nilichotoka ili nikautwae ubunge wa jimbo hilo.
- kumtimua bosi wangu hapa idarani maana amekuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya wafanyakazi wote, anamtumikia zaidi muhindi na anasahau hata kukutetea haki zetu za msingi.
- awe mshauri wangu wa mambo yajayo na kunisomea alama za nyakati.