mtafute sebastian ndege yule host wa kipindi cha njia panda, clouds fm atakwambia kuna kijana mmoja ni hatari sana - alikuwa anamhoji wiki moja iliyopita. Jamaa ana degree 11 za uchawi na uganga, we ukitaka udiwani, ubunge kumtimua bosi wako kazi - mbona issue ndogo kwake.
Anatumia unganga wa baharini, nchi kavu, mtoni, makaburini, angani na ziwani.
Walokole walimfuata ofisini kwake eti walitaka kuchoma ofisi na matunguri yake yote ili amrudie mungu, akawaambia anamjua mungu kuliko wao, akapiga uchawi na ulozi pale basi jamaa wakaanza kuungua nyeti zao huku wanakimbia hovyo hovyo - police wakaja kusuruhisha.