Natafuta mganga mashuhuri

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Wakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.

Ushuhuda wa wazi ni kwamba:
Tangu Januari mpaka sasa nimepiga tongozo zipatazo 56,
Ila sijawahi kukubaliwa hata 1.

Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.

Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.
 
15624600_1829598743987783_6028013009689903104_n.jpg
 
Kwanini ukatongoze siuende wanapomwaga kazi usiku mkapatane bei ukakate kiu.
 
mganga wa mjini ni hela tu mkuui,

yaan hii ndere tosha wa totoz za mjini wote ,wa mwendo kasi hata wale wa mabasi ya kawaida
 
Angalia unapotongoza ndugu...mm namtongoza miss blossom wiki ya sita sasa haeleweki

Mshana hataki kunipa dawa nimroge huyu mtt
 
Wakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.

Ushuhuda wa wazi ni kwamba:
Tangu Januari mpaka sasa nimepiga tongozo zipatazo 56,
Ila sijawahi kukubaliwa hata 1.

Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.

Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.
Mganga mkweli kwenye hilo ni PESA.tafuta pesa uwe nazo nyingi utapumzika kutongoza
 
Back
Top Bottom