wanajamvi naombeni msaada wenu wa kupata shule nzuri maeneo ya dsm or morogoro yenye sifa nzuri na iwe ni boarding tafadhari naombeni msaada wenu wa haraka.
amesema anataka iliyoko moro au dsmKuna shule ipo moshi karibu na mweka inaitwa st.ursula ni ya masista wa shirika la st.ursula ipo vizuri na ada ipo chini