Natafuta medium primary school kwa ajili ya mwanangu

Snia

Member
Apr 3, 2012
49
6
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kupata shule nzuri maeneo ya DSM or Morogoro yenye sifa nzuri na iwe ni boarding tafadhari naombeni msaada wenu wa haraka.
 
medium primary school!!!? hii hautapata kamwe.... ingekua english medium au swahil medium ngekusaidia kidogo
 
Kuna shule ipo moshi karibu na mweka inaitwa st.ursula ni ya masista wa shirika la st.ursula ipo vizuri na ada ipo chini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom