kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,181
- 1,574
Habari,nina mwanangu mdogo nataka nimuanzishe shule(kindergatten) at Feza schools mwakani.
Naomba kujulishwa ada zake, na pia ni day au boarding?
Napambana kutafuta hela walau mwanangu afurahi. Msaada tafadhalini,kwa hali hii ya sasa hela kuwa ngumu, nilipenda kuufahamu utaratibu mapema iwezekanavyo.
Ahsanteni sana