Chagamoto kubwa tunao kabiliana nayo katika shule za advance za serikali ni ufundishaji duni katika advanced level licha yakua waalimu wa sayansi wapo ila watoto hawafundishwi ipasavyo, kweli tangu mtoto wa form five afungua shule amesoma topic moja tu ya physics na yenyewe haijaisha, chemistry ameandika nusu kurasa tu, kweli "cheap things are expensive"
Kwahiyo inabidi ni jiongeze natafuta waalimu wazuŕi wa comb ya PCB maeneo ya Mwenge, Mbezi ya Kimara, Goba Tangi mbovu, Tegeta nk.
Mwenye kujua kituo au waalimu wasio kua wababaishaji au waalimu jaa tafadhari msaada ili tusichelewe.