Natafuta mdada wa kumuoa

Mkuu, huwa unakuja humu mara nyingi ukidai unatafuta mke, mchumba na wakati fulani ukaja na mrejesho kuwa umepata mke wa kukufaa.


Mkuu, nyuzi zako humu nyingi ni za kibabaishaji na hazina nia ya kusaka mchumba kweli bali kupotezea watu muda. Nitaziorodhesha:
Msaada: Natafuta mchepuko wiki ijao uwe unakaa
Hi..member wa Jf
wiki ijayo nategemea kwenda mbeya kwa mambo yangu ya kikazi na takaa wiki mbili naomba kwa kupata mchepuko wa mda tuu wa wiki mbili tuu

kwa aliye tayari ani Pm haraka nafasi nichache sana
Ushauri: Wanaume na Wanawake
Msaada: Wanawake walimu na manesi
Nahitaji mwanamke wa kuoa baada ya kufanya uchunguzi walimu ndiyo wake wazuri so nahitaji kuowa mwanamke, walimu ambaye yuko tayari ani pm umri isizidi miaka 30.

Tulishaachana, lakini bado ananitumia hela kwenye akaunti zangu

Ushauri: Kuoa mwanamke mwenye mtoto au asiye na mtoto
Msaada: Mke mwema
Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf
Msaada mwenye number ya Recho
Najuta kutongoza wanawake wa Dar!
Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi
Msaada: Huyu mwanamke anaelekea kunishinda
Mrejesho: Mchumba polisi
 
Nadhani umempa vidonge vya kutosha sidhani kama atarudi tena kwa id hii
 
Nadhani umempa vidonge vya kutosha sidhani kama atarudi tena kwa id hii

Lengo sio kukomoana mkuu, ni kuwekana sawa hasa pale ambapo watu wanajaribu kuwa serious kisha wengine wakaleta mzaha.

Mtu kama huyu akitapeli watu huko tunaonekana wote hatuna maana... Nimetimiza wajibu wangu kaka/dada.
 
Mh! Huu uzi ni wa tatu unatafuta girl kweli hujapataga tu?
 
Kila la heri ktk jitihada zako za kutafuta mchumba kwenye mitandao ya Kijamii.
 
mh! huyu anatuona ss humu jf wajinga????
ndoroooobo


Ndorobo mwenyew kama sijapata napata matapeli nifanyeje na taleta mwingine tena najuwa wivu wa kike unawasumbuwa tuu
 
Hahahaha! Jamaa amepata alichokitafuta. Anafikiri JF ni sawa na FB kumbe amesahau kuwa hapa ni Great Thinkers, Think and Do Tanks!
 
Ndorobo mwenyew kama sijapata napata matapeli nifanyeje na taleta mwingine tena najuwa wivu wa kike unawasumbuwa tuu

jf wooote ni wanawake wewe??? teh teh! unatafutaga sifa....! uwooooooo, aibu mtu mzimaaa ww.
 
asante sana mkuu

eti asante sana mkuu. Pyuuuuuuuuuuu. Unafikiri nilichoandika kimetoka moyoni. huoni wadau walivyokugeugeuza hapo juu hadi aibu yako. tumekugundua unachezea akili zetu hapa.
 
Hahahahahahaha....umevuliwa nguo halafu unabong'oa?...uliona watu wote masonso wenzio humu?
Nyambaaaafff!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…