Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

ndoivo shoga.. im too young to be stressed kwakweli...sina hata mtoto hekaheka kila kukicha je nikizalishwa si ndo ingekua balaa nop...

Bas usifanye haraka kutafuta mwingine my dia
 
Bas usifanye haraka kutafuta mwingine my dia

teh teh usihofu besti no sina haraka kiivo jamani but everything starts at relationship sio utegemee gafla bin vuu et atakua mume hapana.
 
Walaaam!
Kama jukwaa linavojieleza naona kuwa watu wengi sana wakike kwa wakiume wakitangaza uhitaji wao.Tatizo linakuja pale mtu anapotangaza uhitaji wake bila kuweka sifa za mwombaji. Ni vizuri kuwa clear ili hata mwombaji ajue kama anasifa au laa.
Namuona kabisa mume wangu hapa tafadhali kati ya men waliojitangaza anaehitahi mke mweupe, mkristo digrii holda, mfanyakazi serikalini english figa yenye kahipsi na katako, age 25 sio mref sio mfupi tabia tutachunguzana kwanza aje pm tubonge.Ni hayo tu.

duu wenye bahati zao jamani,yaani wewe kwangu ni mule mule isipokuwa kimoja tuu! toba mimi wee.
 
Jaman dunia imekwisha!!!? mnajua tu kusema SERIOUS in english when it come to the matter of LOVE wanaume ndo mnaongoza ku cheat!! SO WHAT IS THE DEEP MEANING OF LOVE???? I DONT TRUST MEN.
 
Njoo mwenye nipo kwenye halakati za kutafuta wa kumuoa ila vigezo na mashart vizingatiwe
 
Hi guys, naitwa Poul nyanso,nina miaka22, npo shy kikaz (mwlm), natafuta mchumba wa kuoa bt awe na sifa zifuatazo;

*awe anatoka kanda ya ziwa/kat
*awe mwalm idara ya msingi
*awe na umri wa miaka20-22
*awe mwenye umbo la wastan (awe na urefu wa kat, sura maj ya kunde au mweupe, asiwe mnene wala mwembamba (umbo la kat), awe anajiheshimu, npm au 2mia0762600121 KWA MAWASILIANO ZAIDI, lugha chafu spend kama huna interest kausha
 
Mimi nkitaja zangu c watankimbia hapa, atanijua huku huku
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa – jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect…. Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect… Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product…Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu…


Tips kabla hujatuma


  • Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
  • Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  • Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi…
  • Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
  • Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes…
Na mengineyo ya muhimu…
 
haijalishi pa kutafuta mchumba. wewe ulipatwa wapi??? wadada mpk muwe na shida ndo pakujipatia wachumba.
 
mchumba gf bf anapatikana popote. kwa akina dada atapata mchumba popote pale iwe dukani. kwa muuza chipsi. club. bar. shule. kazini. nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom