Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
- Thread starter
- #61
Uzi huu una-lengo la kusaidia watu wengi kuna watu wanatamani kutafuta wachumba ambao wanaweza kuwa wachumba wanaogopa lengo ni kuwatia moyoBroo🤣👉
Uzi huu una-lengo la kusaidia watu wengi kuna watu wanatamani kutafuta wachumba ambao wanaweza kuwa wachumba wanaogopa lengo ni kuwatia moyoBroo🤣👉
Sure bro : usinichukulie serious kwani mimi ni mlevi tuUzi huu una-lengo la kusaidia watu wengi kuna watu wanatamani kutafuta wachumba ambao wanaweza kuwa wachumba wanaogopa lengo ni kuwatia moyo
Sina maana hiyo
Sa we naee kwa maneno yoote hayo utaanza kuonekana una gubu sasa.
Maisha hayako fair 🤣🤣🤣🤣Fikiria mtu anaongea sana namna hii lakini kashindwa kupata mchumba maeneo anayoishi 😂
Ze mchumba is chumbaring tatizo jinsi hawa dada zetu walivyo watasema umepost kama kiredio anavyopost challenge zake😂😂Mimi Dennis Robert natafuta mchumba wa kike
Kwenye video na profile picture ndo mimi
Sifa zangu mimi
Sifa za mhusika Mwanamke
- Miaka 33
- Dini-Lutheran
- Kazi- mfanyabiashara
- Mkazi-dsm
- Dini- Lutheran/Catholic
- Makazi-Dar es salaam
- Miaka-kati ya 25 na 29
- Elimu-Bachelor
View attachment 3382765
KwishaaaaaaMimi Dennis Robert natafuta mchumba wa kike
Kwenye video na profile picture ndo mimi
Sifa zangu mimi
Sifa za mhusika Mwanamke
- Miaka 33
- Dini-Lutheran
- Kazi- mfanyabiashara
- Mkazi-dsm
- Dini- Lutheran/Catholic
- Makazi-Dar es salaam
- Miaka-kati ya 25 na 29
- Elimu-Bachelor
View attachment 3382765
Sina NIDA 😁Kwishaaaaaa
Evelyn Salt njoo vyeti vya kuzaliwa vinatolewa tu RITA. Nitakupa cha kuonesha una miaka 21
Majiniazi wawili mtaproduce supajiniazi wa IQ 160
Nitakupa. Kwani nida bei ganiii?Sina NIDA 😁
Anastasia21 amepata mume tena rais, Ana usiniangushe.Hii nafasi ya kipekee kabisa inatakiwa mabinti wachangamke sana......tena nashauri watu wenye majina haya wawahi nafasi, ni moja ya majina yenye bahati sana kuwa wake wa viongozi ANNA, JANETH, MARIA kama una jina moja wapo hapa mpigie simu mheshimiwa uchumba uanze mara moja, hautajutia.
min -me Shimba ya Buyenze
Mheshimiwa anatafuta jiko
Changamoto ya watanzania wengi sio wote confidence ipo chini ila kupata sio lazima kuna option ya kukosa nayo pia ni matokeoZe mchumba is chumbaring tatizo jinsi hawa dada zetu walivyo watasema umepost kama kiredio anavyopost challenge zake😂😂
Naam na ndo sifa ya mwanaume ukikosa unatulia tuChangamoto ya watanzania wengi sio wote confidence ipo chini ila kupata sio lazima kuna option ya kukosa nayo pia ni matokeo
Kikubwa nimejaribu hayo mengine ni matokeoNaam na ndo sifa ya mwanaume ukikosa unatulia tu
Gotcha ya bruv.Kikubwa nimejaribu hayo mengine ni matokeo
"My only fear is not trying"
We mbona sielewiAnastasia21 amepata mume tena rais, Ana usiniangushe.
Na inawezekana tayari PM ya Mh. Raisi imeshajaa 😃😃😃Kupata mke imekuwa bahati siku hizi?
Rais anatafuta mchumbaWe mbona sielewi
M sipendi raisRais anatafuta mchumba
Unapenda yupi 😀 ?M sipendi rais