Oke oke.😁 msalimie numbie
Ukishaitwa Dennis sidhani kama ungetafuta mchumba wa kiume.Mola awe nawe.Mimi Dennis Robert natafuta mchumba wa kike anayekaa dsm karibuni
Baada ya mda tegemea reply kama zifuatazo;-
soon watakuja member watasema tulijua hamna kitu ni swala la mda tu tulikuwa tunasubiri, mtu gani anataka kugombea hata mke hana, wengine deo kisandu anatumia I'd nyingine
Lakini ukija kwenye mada nikosa mimi au mtu yeyote kutafuta mchumba huku jibu ni hapana, kuna watu wengi sana wanaume na wanawake wanatamani kutafuta wachumba huku kwa kuogopa kukosolewa sababu jamiiforum ni mtandao bingwa wa kukosoa
Kuna mtu anasema kabla sijaweka Tangazo langu la kutafuta mwanamke au mwanaume acha nikaangalie matangazo ya watu wengine ambayo tayari yapo nione upepo ukoje akifungua post ya kwanza anakutana na misumari almost asilimia tisini, anaenda ya pili, ya tatu kote huko ni misumari anaguna duuuu kwa hali hii ni bora nisipost lakin yamkin angepost angekutana na mke au mme wake fahamu maisha hayana formula
Hii nafasi ya kipekee kabisa inatakiwa mabinti wachangamke sana......tena nashauri watu wenye majina haya wawahi nafasi, ni moja ya majina yenye bahati sana kuwa wake wa viongozi ANNA, JANETH, MARIA kama una jina moja wapo hapa mpigie simu mheshimiwa uchumba uanze mara moja, hautajutia.
min -me Shimba ya Buyenze
Mheshimiwa anatafuta jiko
Ni vile unamtazama mtafuta mchumba kwa cheko la deko.
Apewe nini bwashee 😆Rais na yeye apewe
MkeApewe nini bwashee 😆
Kabisa raisi nae ajichukulie mke kwa kwel
Huyuhuyu wa tiiyefuyefu?
Kwani yeye ni Hausting Kamuzu Banda?Mweshimiwa rais anasaka fest ledi😛
Apewe mke RaisHuyuhuyu wa tiiyefuyefu?
Nikajua apewe Chinua achebe eti😛Apewe mke Rais
Kwani kosa langu ni lipi hasa mpaka unasema ntakuwa kama nyampalaSoma vizuri ile reply. Punguza taarabu mhe rais. Uwe unapokea ushauri. Hii ni red flag hata ukiwa rais utakuwa kama nyampala tu.
Mimi always nabreak barrier na kuwatoa watu kwenye kifungo cha fikraKupata mke imekuwa bahati siku hizi?
Rais ni binadamu pia sio malaikaUsiogope kukosolewa katika MAISHA Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana Rais mtarajiwa kuwa hata Mahusiano yanampiga chenga