Mimi Dennis Robert natafuta mchumba wa kike anayekaa dsm karibuni
Baada ya mda tegemea reply kama zifuatazo;-
soon watakuja member watasema tulijua hamna kitu ni swala la mda tu tulikuwa tunasubiri, mtu gani anataka kugombea hata mke hana, wengine deo kisandu anatumia I'd nyingine
Lakini ukija kwenye mada nikosa mimi au mtu yeyote kutafuta mchumba huku jibu ni hapana, kuna watu wengi sana wanaume na wanawake wanatamani kutafuta wachumba huku kwa kuogopa kukosolewa sababu jamiiforum ni mtandao bingwa wa kukosoa
Kuna mtu anasema kabla sijaweka Tangazo langu la kutafuta mwanamke au mwanaume acha nikaangalie matangazo ya watu wengine ambayo tayari yapo nione upepo ukoje akifungua post ya kwanza anakutana na misumari almost asilimia tisini, anaenda ya pili, ya tatu kote huko ni misumari anaguna duuuu kwa hali hii ni bora nisipost lakin yamkin angepost angekutana na mke au mme wake fahamu maisha hayana formula
Kuna mtu amefeli kwenye mahusiano basi atahakikisha kila mtu anayejaribu kuingia kwenye mahusiano anamkosoa vibaya mno ndo maana kuna watu asilimia 90 ya comment na reply zao ni kudiss
Jinsi kuogopa kukosolewa kulivyo-haribu na kukwamisha maisha ya watu wengi
Moja ya mambo mambo ambayo nimejifunza ni kusimama mwenye kwenye msimamo wa jambo hata kama duniani nzima iko kinyume na mimi as long sivunji sheria ya nchi niko tayari kusimamia nachoamini
sijisifu hapana nataka nikuondolee hio hofu ya ndani yako ambayo imeshaharibu maisha ya watu wengi na usipokuwa makini itaharibu maisha yako nikimaanisha hofu ya kuogopa kukosolewa as long jambo unalofanya halijafunza sheria ya nchi na maadili kwenye jamii yako usiogope kulifanya
Nini kifanyike
- Usiogope kufeli--Fahamu wewe sio wa kwanza na wa mwisho kufeli
- Matumizi ya utambulisho fake imekua ni ngumu sana watu kuaminiana hapa jamiiforum --dating app za wazungu wanafanikiwa kupata wachumba na baadae wake/mme ni kwa sababu wamejengewa kujiamini, sisi watanzania tumejengewa hofu tokea tunakuwa ndo maana ni ngumu sana kufanikiwa kwenye mambo mengi
- Usiogope kusema natafuta mchumba hatakama ni huku jamiiforums, Tumekuwa na jamii ambayo ni ya ajabu sana ambayo kila jambo wanaliangalia in negative na kuponda mwanzo mwisho Kuna watu wanawasakama watu ooh umekosa huko mtaani kwenu jibu ni kwamba maisha hayana formula
- Usiogope kuanza upya--Haijalishi umefeli kwenye mahusiano mara ngapi jitahidi as long una afya njema usiogope kuanza upya sababu mtaji wa kwanza kwa binadamu ni afya
- Usiwe mtumwa wa mustarbation --Unakuaje mtumwa wa punyeto ilihali wanawake na wanaume wengi wamejaa single na wanatafuta watu
- Kama hujaolewa kuwa na mpenzi mmoja ila usifunge milango ya marafiki sababu huwezi jua rafiki yako ambaye hata hukumtegemea anaweza ndo akawa mme/ wako as long hujaolewa usijifungie milango
- Tafuta hela--Ni moja ya misemo ambayo inanishangaza ni huu, kuna wanaume ni bangaiza United ila wanafamilia na kuna wanaume ni matajiri ila hawana familia, kwenye maisha kama ni mwanaume tafuta mtu mwanamke wa level zako na kama ni mwanaume wa leve zako, ukitafuta mtu ambaye sio wa level zako basi fahamu kuna uwezokano mkubwa mahusiano yakakutesa
View attachment 3382322