Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
unajua ww sio mzimanjoo mke wangu inbox nikupe my no tuongee

Na mimi nitaaminije kama hujawahi kutoa mimba? Aliyekubikiri yupo wapi?

karibuBasi naja inbox shunie.
serious people, less words
mme mwema hutoka kwa mungu, fanya maombi na usichague kabila labda dini.Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
chura ndio mke?Una chura????
kwa nn my lovely wife ?unajua ww sio mzima
duh huyo unamkaribisha lakin mimi hautaki ,haya bhana Mungu anakuona kwa unachonifanyiakaribu
baby,karibu
Duuh! Sidhani kama kuna seriousness yoyote hapa. Anyway wahitaji jaribu bahati yenu.Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
njoo kwangu mm ntakujali hata kama huna churachura ndio mke?
wakatoliki hawasamehewi ng'oWadada wengine hawasemi wakipewa mimba! Wanaitoa kisirisiri.
ni dume hilo linataniaDuuh! Sidhani kama kuna seriousness yoyote hapa. Anyway wahitaji jaribu bahati yenu.
Hapana..... Huwez nunua gari bila injinichura ndio mke?
I will be out for some time,karibu
Una chura nzuri?( yaani shepu yako ikoje? Huna kitambi?) Una guu la chupa? na unaishi wapi?Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).