Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,944
tehteh huyo mchumba anatafuta kubeba mzigo na majuto ktk ndoa yake yaani mtu unafugwa bado unataka kuoa huna mkakati wowote wa kutengeneza maisha yako basi unaona pesa za pension za mzee wa watu ndo zako,zenyewe hazina matumizi zinakungoja wewe eti wa chuo mpaka nimuulize mjomba ndie anaeoa yaani mwanaume kama ww ni mkosi kwangu ni sawa na kukaribisha majanga ya moto ndani ya nyumba huna maana.