Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

Huyo anaetaka kulima namshaur akatembelee sehem inaitwa magu ipo mkoa wa mwanza kule wanalima kila mda hawanaga kupoa yaan weka ni weke toa niweke
 
Ungejaribu kuomba hata shule private, au hata mikoani Kuna uhitaji.
Shule private usimdanganye huko ni majanga tu hawalipi mishahara mpaka miezi sita inafika, shule nyingi zinakufa kibudu maticha waliopo huko wanaugulia maumivu.....

Uwepo wa shule nyingi za kata umeharibu biashara ya private school.

Imagine walimu wa private wananyanyasika, wanatukanwa na kufanyiwa kila aina ya dharau na mabosi zao lkn hawaondoki kwa malipo ya 150,000 mpaka 200,000.

Huko asiende bora ajiajiri tu.
 
Mkuu mpe Basi huo mtaji🤔, maana Ume kuja kuonyesha tatizo.
👉Bila ufumbuzi, wakati mtu kaomba issue yoyote
 
Mkuu mpe Basi huo mtaji, maana Ume kuja kuonyesha tatizo.
Bila ufumbuzi, wakati mtu kaomba issue yoyote
Sio lazima nimpe mtaji hata mawazo yanaweza kumsaidia kupata option ya wp pakwenda.

Kama sikosei amesema amemaliza chuo bila shaka wapo waliomsomesha ambao wanaweza kumsaidia kumpa huo mtaji.....
 
Huyo anaetaka kulima namshaur akatembelee sehem inaitwa magu ipo mkoa wa mwanza kule wanalima kila mda hawanaga kupoa yaan weka ni weke toa niweke
Bado sio suluhisho sisi tuliosomeshwa haimaanishi tunawwz kupata mitaji kwa waliotusomesha, ww mwenyew unafaham hali ya watanzania wengi na aina ya elimu vp ikiwa alikuw anasaidiwa na serikali kama ilivyokuwa kwangu!? Je kama waliomsomesha hawana hela zaid ya kumpata mtaji kama mimi?
Bado unahitajika hapa ili ww uweze msaidia kwa chochote

Back
Top Bottom