Upo wapi?Hata kazi ya kulipwa 200,000 naomba connection 🙏🙏
Nipo DSMUpo wapi?
Mimi sina kazi ila najaribu kukufikirisha tuKiongoz tafadhali mm nioneshe kazi mkuu, mshahara ni maongezi lakin pia ww nipe kazi!!
Usichague kazi jaribu hao wenye mishahara mikubwa walianzia na mishahara midogoAisee!! So disappointed
Mimi nimeongelea kwa vijana wengi ambao wanamitazamo hioAisee kaka wap mm nimeandika nataka mshahara mkubwa lakin!?
Mm nimetoa post ya kuomba mchongo ila sijasema nahitaj mshahara mkubwa unless iwe mazungumzo
mwanza pagumu sana mkuu..mimi nakuambia ukweli ambao huwezi kuambiwa hapa...nenda kahama au katoro mkuu utakuja kunishukuru....huo mji wa mwanza umejaa wahaya na sifa za wahaya ni ubinafsiHIVI KWELI HAKUNA MTU WA CONNECTION KWENYE NGOs
Ukweli ulio uchi huu ...nambie mh huko katoro ama kahama mzee napata mishe zipi ukianza kwanz na elimu hapo juumwanza pagumu sana mkuu..mimi nakuambia ukweli ambao huwezi kuambiwa hapa...nenda kahama au katoro mkuu utakuja kunishukuru....huo mji wa mwanza umejaa wahaya na sifa za wahaya ni ubinafsi
Naona ujenzi bado unaendelea, japo kipo karibu kukamilika na shughuli zianze. Ila naamini hauwezi kukosa hata mia, nawaona vijana wanatengeza pesa kuliko wale wanaobagua kazi na kukaa tu mtaani.Mkuu kiwanda kimeshaanza kazi au wanapiga kazi za ujenzi?
Hii kauli ya kukaa mtaan na kubagua kazi inaumiza sana kichwa changuNaona ujenzi bado unaendelea, japo kipo karibu kukamilika na shughuli zianze. Ila naamini hauwezi kukosa hata mia, nawaona vijana wanatengeza pesa kuliko wale wanaobagua kazi na kukaa tu mtaani.
Wahi kesho asubuhi ukatafute pale kijana. Nawaona watu wengine wanatoka Kisesa kila siku na kuja pale kutafuta riziki.Hiyo ni job kamili mkuu sio fursa