Huwezi kuipata kirahisi hivyo kijana. Siku hizi bila chochote hupati kitu.HIVI KWELI HAKUNA MTU WA CONNECTION KWENYE NGOs
Ni kweli kwa uyasemayo, misingi ipo tayari. Naomba ujifunze kuanza chini ndo upande juu, vilevile usipende kuharakisha mambo, mafanikio yatakuja yenyewe kupitia juhudi zako.Hii kauli ya kukaa mtaan na kubagua kazi inaumiza sana kichwa changu
Ila kwa vile naamua kufikiria saba labd kuliko wengine bado ntaonekana si chchte
Ila nakuhakikishia ndio maan ww unapita ukiona vijana wakiiend pale means ww una misingi yako
Ahsante nipe mchongo mwingne ukiacha na huoNi kweli kwa uyasemayo, misingi ipo tayari. Naomba ujifunze kuanza chini ndo upande juu, vilevile usipende kuharakisha mambo, mafanikio yatakuja yenyewe kupitia juhudi zako.
Sitaki ukate tamaa ya kupambana kisa taaluma uliyoipata, kuna watu tunafanya kazi zilizo nje ya taaluma tulizochukua. Anza na kidogo kijana, naamini utafika mbali.
Izo course ni za Watoto wa kishua...Bora uende VETA ukasomee umeme wa MagariNitangulize wasifu kwanza
Education : degree Of Community Economic Development (CED )
Age: 25
Location : currently Mwanza.
Ndugu zanguni kama mjuavyi hali ni tete, nipo mwanza
Ama hakika kama kuna mtu yeyote ambae anaweza fanya kitu muhimu kupata shughuli ya kupata chochote kitu kupitia taaluma yangu ama vyovyote halali juu yangu. Nitamshukuru sana
MWANZA kwa sasa sina hali
Masaada kwenu
huku ni biashara lakini pia ukijichanganya hukosi vibaruaUkweli ulio uchi huu ...nambie mh huko katoro ama kahama mzee napata mishe zipi ukianza kwanz na elimu hapo juu
Kwa mitaji ipi?Mjaribu na kujiajiri.
Kahama kuna kazi gani boss na uko geita?mwanza pagumu sana mkuu..mimi nakuambia ukweli ambao huwezi kuambiwa hapa...nenda kahama au katoro mkuu utakuja kunishukuru....huo mji wa mwanza umejaa wahaya na sifa za wahaya ni ubinafsi
Mkuu nime ona una saka job na home no kigoma, je unaeza tafuta maeneo ya kulima maharage.Ahsante nipe mchongo mwingne ukiacha na huo
Sema sad ni kwamba mwanza ni mkoa ambao nimekuja temporarily nilikuw na interviews kadhaa tu then narudi home
KIGOMA
Unaniuliza tena?Kwa mitaji ipi?
Maana umeongea kurahisisha mtu hana ata kazi anatoa wapi mtaji wa kujiajiri?Unaniuliza tena?
Ungejaribu kuomba hata shule private, au hata mikoani Kuna uhitaji.Sorry Mkuu kuleta huku suala la PM maana hakuna namna nyengine ya kuwasilisha PM naona inamatatizo leo nimeona hadi huu uzi wa Complain👇
Niweke hapa baadhi ya details za CV zisizo nifichua ID yangu
Personal Detail
Kuishi: DSM
Umri: 27
Elimu: Shahada ya Elimu (Uwalimu)
Experience:
1)Nimewahi kufundisha Secondary Form 1 na Form 3
2)Nimefanya kazi ya Customer care na Call-Center kwenye Kampuni
Nipo tayari kufanya kazi yeyote asante
Tafuta kama unavyotafuta kazi.Maana umeongea kurahisisha mtu hana ata kazi anatoa wapi mtaji wa kujiajiri?
aisee kunajama alikua apiga kazi kiwanda cha nondo kwa wahindi ile kazi hupaswi kuifanya kwa miaka 2Upo Mwanza maeneo gani? Jaribu hata kiwanda cha nondo kinachotengenezwa nje kidogo ya Kisesa, barabara ya Musoma.
Kila siku nawapita pale vibarua wanaenda kupiga kazi, nenda kajaribu fusa pale.