Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,316
- 96,544
Nime moa ushauri huo, kwa sababu Kuna Jamaa yangu kaajiriwa private.Sio lazima nimpe mtaji hata mawazo yanaweza kumsaidia kupata option ya wp pakwenda.
Kama sikosei amesema amemaliza chuo bila shaka wapo waliomsomesha ambao wanaweza kumsaidia kumpa huo mtaji.....
👉Ana lipwa laki 6, so nashangaa ulivyo sema Wana lipwaa 150k
Ana lipwa laki 6, so nashangaa ulivyo sema Wana lipwaa 150k