Natafuta mbuzi ( Bore Goat?

Natafuta mbuzi ( Bore Goat?

kifukumkunyi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
245
Reaction score
192
Ndugu wanajamii natafuta mbegu ya mbuzi aina ya (Bore Goat ) , kwa yoyote anayeweza kunisaidia naomba msaada wenu. Kama mbuzi wanapatikana au wapi ninaweza kupata mbegu za kupandishia.
 
Uganda wapo lakini siyo pure .... na pia unaweza pata crossed na breed ingine
 
Wana sifa gan

Wanono sana kama huyu.........

upload_2017-1-3_14-6-46.jpeg
 
embu jamani wenzetu wenye uwezo fanyeni mpango muwalete tz. na sisi tupate mbegu.

ila sijui kama watahimili hali ya hewa.
 
embu jamani wenzetu wenye uwezo fanyeni mpango muwalete tz. na sisi tupate mbegu.

ila sijui kama watahimili hali ya hewa.

wazo lako ni zuri sana .... linahitaji ufuatiliaji na utekelezaji ..... naamini mtu/watu wakiweza kuleta hii breed hapa kwetu na ikaweza kustawi basi hii itakuwa fursa kubwa sana kibiashara

ngoja nimuulize mkaburu
 
mana mbuzi kufikia kilo 150. si haba.

ila kinachonishangaza kwann vyuo vyetu vya kilimo hawana hii mbegu
 
mana mbuzi kufikia kilo 150. si haba.

ila kinachonishangaza kwann vyuo vyetu vya kilimo hawana hii mbegu
Mbegu mix dog [emoji240] + mbuzi [emoji238] = ndiyo wakapatikana aina hiyo ya mbuzi ,ila ni mix ya wale dog [emoji240] wakubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom