wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,129
Galla/Isiolo
Goat pox sio mapafu mkuu ni ndui ya mbuzi,lakini kuna chanjo za mapafu na ndui unachanja tu kuwakinga.Nikweli unacho kisema lakini hao wanao zaa mapacha ni wali Cross walipo kuja kenya, asili kabisa ya hawa Isiolo ni kuzaa mmoja, na nakubaliana na wewe kabisa waliingizwa Kenya kwanza kabisa ktk kaunti ya Isiolo.
Ni kweli ukuwaji wao ni wa haraka na wana jaza nyama vyema ktk miili yao.
Na niwavumilivu sana ktk hali ya hewa hasa hiki kipindi cha ukame,
Na niwavumilivu sana kwa magonjwa ila wakipata ile homa ya mapafu hawapindui.
Nina ushaidi ktk shamba langu nilipatwa na mkasa wa GOAT POX ugonjwa huu uliua Mbuzi wengi sana shambani kwangu lakini jamii ya ISIOLO/GALLA hawakudhurika na huo ugonjwa.
Nilikuwa na Mbuzi 168 nimebakiwa na Mbuzi 15 kwa sasa,
Chanjo na tiba ni vitu muhimu sana ktk ufugaji wa Mbuzi, na quarantine pindi unapo ingiza mfugo mpya ktk zizi lako.
Nashukuru sana kunisahihisha ila nimezungumzia kwamba nilipatwa na hiyo shida ya GOAT POX, na nikazungumzia kuwa kinga Mbuzi na mapafu, na kuna mahala nimezungumzia chanjo ya CCPP kwaajili hiyo. Kikubwa mimi sikuchanja GOAT POX wala sikuweka Mbuzi quarantine pindi nilipo waleta Mbuzi wapya, kiboko nilicho kipata hakina mfano wake kwakweli, Mungu anajua kwakweli.Goat pox sio mapafu mkuu ni ndui ya mbuzi,lakini kuna chanjo za mapafu na ndui unachanja tu kuwakinga.
Na ningeomba muwe waangalifu kwa sasa ktk kuagiza Mbuzi hasa toka Arusha maana kuna mlipuko wa hiyo GOAT POX.
Goat Pox vaccineMkuu asante kwa ushauri wako.
Chanjo gani inatumika kuzuia “Goat Pox?
Asante.Goat Pox vaccine
Kwa pwani tufuge aina gani?Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba niwape ufafanuzi kuhusiana na Mbegu ya Mbuzi mlizo ziseama, kusema ukweli kabisa kuna watu wanao hao Boer na Savanna hapa Tz ila naomba niwape anagalizo kama kwesi unahitaji kuwekeza ktk hizo mbegu ningeliwashauri kwanza mfanye kutembelea kwanza wafugaji wa hizo mbegu halfu ndio uamue kufuga.
Nazungumza hivyo kutokana na uzoefu wangu ktk ufugaji wa mbuzi na nipo ktk mtandao wa wafugaji Mbuzi Tz, kwa hizo mbegu ningeshauri uwasiliane na Mbogo Ranches ndio pekee weney uhakika wa hizo mbegu. Shamba lao lipo Mdaula hapo, na ukiingia Instagram utawakuta utaona kila aina ya Mbegu walizo nazo na utawasiliana nao hao.
Kuhusu ugaji wa Mbuzi wa Nyama nitawashauri uanze na Galla/Isiolo wana faa sana kwa Nyama na soko letu la kawaida. mliopo Ngara fugeni Mubende ukiwa cross na Galla/Isiolo mtapata matokeo mazuri sana.
Mlioko kigoma Fuga Buha nao niwazuri sana kwa ukuwaji na kuzaa vyema wote hao huzaa mapacha mpaka 3.
Ukihitaji ufafanuzi zaidi utauliza.
Inategema na wewe hitaji lako ni mradi wa aina gani,1 wa nyama? kama ni ndio basi anaza na Galla/isiolo ukichanganya na hawa wetu wa kawaida. 2 ni wa maziwa? kwanza nankushauri uangalie soko likoje halafu utembelee wafugaji kwanza na mashamba ya serekali Tarili Mpwapwa na Tanga wao wanao wanao wa cross kwaajili ya ukanda wa Pwani.Kwa pwani tufuge aina gani?
#MaendeleoHayanaChama
Asante sana kwa taarifa hizi muhimu.Inategema na wewe hitaji lako ni mradi wa aina gani,1 wa nyama? kama ni ndio basi anaza na Galla/isiolo ukichanganya na hawa wetu wa kawaida. 2 ni wa maziwa? kwanza nankushauri uangalie soko likoje halafu utembelee wafugaji kwanza na mashamba ya serekali Tarili Mpwapwa na Tanga wao wanao wanao wa cross kwaajili ya ukanda wa Pwani.
0715391788/0784391788. Taliri Tanga hao watakupa mwongozo mzuri wa Mbuzi wanaozalisha na upandaji wa majani ya ulisha Mbuzi ktk shamba lako.
0718312084/0674625420. Taliri Mpwapwa hao pia watakusaidia kuhusu mbegu bora za Mbuzi walio cross na hizo za kisasa watakao kufaa kwa ukanda wa Pwani.
Karibu sana niwaombeeni nyote muwe na baraka za Mungu ktk lile mliwazalo kuanzisha miradi yenu, Mungu Baba awape Nguvu,hekima,busara,nia iliyo njema na mafanikio ktk mashamabayenu mliyoyaanzisha na mtakayo yaanzisha , kikubwa uvumilivu,chanjo na usafi wa mabanda, mbarikiwe sana.Asante sana kwa taarifa hizi muhimu.
#MaendeleoHayanaChama
Kumbe tuna research centers kama hizi bongo, lakini seems watu hawazitumii inavyotakiwa kujiletea maendeleoInategema na wewe hitaji lako ni mradi wa aina gani,1 wa nyama? kama ni ndio basi anaza na Galla/isiolo ukichanganya na hawa wetu wa kawaida. 2 ni wa maziwa? kwanza nankushauri uangalie soko likoje halafu utembelee wafugaji kwanza na mashamba ya serekali Tarili Mpwapwa na Tanga wao wanao wanao wa cross kwaajili ya ukanda wa Pwani.
0715391788/0784391788. Taliri Tanga hao watakupa mwongozo mzuri wa Mbuzi wanaozalisha na upandaji wa majani ya ulisha Mbuzi ktk shamba lako.
0718312084/0674625420. Taliri Mpwapwa hao pia watakusaidia kuhusu mbegu bora za Mbuzi walio cross na hizo za kisasa watakao kufaa kwa ukanda wa Pwani.
Knowledge is power.Kumbe tuna research centers kama hizi bongo, lakini seems watu hawazitumii inavyotakiwa kujiletea maendeleo
Maelezo kamili juu ya upatikanaji wa mbuzi aina ya boer
👇
Kimanzi chana ni Mavuno Farm ni kweli anauza Galla walio pandwa na Boer tayari, 0713282715 nilishawahi weka number yao hapa wasilianeni nao wana Mbuzi viwango kweli.Kwa wale walio kuwa wanatafuta. Mbuzi bora wa kufuga kuna ranch moja huko kimanzichana wanauza mbuzi aina ya Galla wenye mimba kwa bei ya shilingi laki 2 na nsu ila mpaka uchukue mbuzi zaidi ya 10.
Kama kubwa mtu anahitaji nadhani tuungane twende kuchukua. Binafsi nina weza kuchukua kuanzia hiyo idadi lakini baada ya kujiridhisha kuwa wako vizuri.
Lingine kuna mtu nimempa Kazi kunitafutia mbuzi wanao zaa mapacha huko Kagera nae kapata hivyo pia kama kutakuwa na watu wako interested tunaweza kwenda kuchuku. Huko bei ni rafiki kwani unaweza kupata kuanzia 40k - 100k. Huku nitakqenda kuchukua mbuzi Kati ya 30 hadi 50. Tukiwa watu wawili watu tunaweza kushare usafiri
Kumbuka channjo na quarantine ni muhhimu sana ndugu hasa utakapo chukuwa Mbuzi wa sehemu tofauti tofauti, kila siku naomba sana Mungu yaliyo nikuta yasimkute wala kumpata mfugaji mwenzangu yeyeyote ktk ufugaji wake, nawaombeeni kheri nyote ktk ufugaji na wote mnao anza kufugaji wenu.Kwa wale walio kuwa wanatafuta. Mbuzi bora wa kufuga kuna ranch moja huko kimanzichana wanauza mbuzi aina ya Galla wenye mimba kwa bei ya shilingi laki 2 na nsu ila mpaka uchukue mbuzi zaidi ya 10.
Kama kubwa mtu anahitaji nadhani tuungane twende kuchukua. Binafsi nina weza kuchukua kuanzia hiyo idadi lakini baada ya kujiridhisha kuwa wako vizuri.
Lingine kuna mtu nimempa Kazi kunitafutia mbuzi wanao zaa mapacha huko Kagera nae kapata hivyo pia kama kutakuwa na watu wako interested tunaweza kwenda kuchuku. Huko bei ni rafiki kwani unaweza kupata kuanzia 40k - 100k. Huku nitakqenda kuchukua mbuzi Kati ya 30 hadi 50. Tukiwa watu wawili watu tunaweza kushare usafiri
Nashukuru sana kwa kutukumbusha. Yaani Kati ya kitu nilicho toka nacho kwenye huu uzi ni hicho cha chanjoKumbuka channjo na quarantine ni muhhimu sana ndugu hasa utakapo chukuwa Mbuzi wa sehemu tofauti tofauti, kila siku naomba sana Mungu yaliyo nikuta yasimkute wala kumpata mfugaji mwenzangu yeyeyote ktk ufugaji wake, nawaombeeni kheri nyote ktk ufugaji na wote mnao anza kufugaji wenu.
Amina ubarikiwe sana nilizembea kidogo ndugu nilichokipata Mungu ndio shahidi , maana Mbuzi walikufa wote sasa naanza upya.Nashukuru sana kwa kutukumbusha. Yaani Kati ya kitu nilicho toka nacho kwenye huu uzi ni hicho cha chanjo